Tazama LIVE Mkutano wa Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu mambo mbalimbali...
By Hamisi MgutaMay 22, 2020MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), amemuomba radhi Abdulrahman Kinana, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kumhusisha na...
By Hamisi MgutaMay 19, 2020MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameeleza kuwa mapambano dhidi ya gonjwa la Corona, hayahitaji mzaha au kibri. Anaripoti...
By Hamisi MgutaMay 17, 2020UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, amewataka Watanzania kuwalinda watoto na wazee dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na...
By Hamisi MgutaMay 15, 2020WABUNGE waliofukuzwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekata rufaa ofisi ya msajili wa vyama vingi vya siasa kupinga uamuzi uliochukuliwa dhidi yao....
By Hamisi MgutaMay 14, 2020JESHI la Polisi Makao makuu, Ofisi ndogo Dar es Salaam limepokea lita 100 za vipukusi (sanitizers) pamoja na dispenser 5, ikiwa ni sehemu...
By Hamisi MgutaMay 14, 2020SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kununua tani 735,000 za chakula, zinazotosheleza kwa matumizi ya nchi nzima, katika kipindi cha mwezi mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Hamisi MgutaMay 12, 2020MKUTANO wa Rais wa Marekani, Donald Trump na wanahabari, umevunjika baada ya rais huyo kuulizwa maswali yaliyomchefua. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Mkutano huo ulifanyika...
By Hamisi MgutaMay 12, 2020BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imezitaka benki na taasisi za fedha nchini humo, kutoa unafuu wa urejeshaji mikopo, ili kupunguza makali ya athari...
By Hamisi MgutaMay 12, 2020WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameagizwa kutotii agizo la Job Ndugai, Spika wa Bunge kwamba warejeshe fedha za posho walizopewa. Anaripoti...
By Hamisi MgutaMay 11, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema imesimama kutoa takwimu za mwenendo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19), kwa...
By Hamisi MgutaMay 8, 2020WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti...
By Hamisi MgutaMay 7, 2020KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema, chama chake, hakijawahi kumfukuza uwanachama, aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo,...
By Hamisi MgutaMay 3, 2020MWIGULU Nchemba, Waziri wa Katiba na Sheria aliyeapishwa leo tarehe 3 Mei 2020, amepewa jukumu zito na Rais John Magufuli. Anaripoti Hamis Mguta,...
By Hamisi MgutaMay 3, 2020HOFU ya kusambaa kwa virusi vya corona (COVID-19), ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa inazungumzwa waziwazi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Hamisi MgutaApril 30, 2020ALOYCE Bent Kimaro, aliyekuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), amefariki dunia leo tarehe 30 machi 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Kimaro alizaliwa tarehe 24 Juni 1953....
By Hamisi MgutaApril 30, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya corona 196, ambapo kati yao kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla...
By Hamisi MgutaApril 29, 2020SERIKALI imepokea msaada wa Sh. 14.9 bilioni kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa...
By Hamisi MgutaApril 27, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia (AZAKI) katika kupambana na janga la ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19)....
By Hamisi MgutaApril 25, 2020WAGONJWA 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya...
By Hamisi MgutaApril 24, 2020WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya sita (6) wa Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta,...
By Hamisi MgutaApril 16, 2020ROSTAM Aziz, mfanyabiashara mkubwa na mbunge wa zamani wa Igunga, Tabora ametoa mashine kubwa 25 za vitakasa mwili wote ili kukabili virusi vya...
By Hamisi MgutaApril 16, 2020SERIKALI imetangaza vifo viwili vya wagonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Kwa mujibu wa...
By Hamisi MgutaApril 10, 2020MPAKA sasa, watu watatu wawaliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa corona, wamepona. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea) Taarifa iliyotolewa na Ummy Mwalimu, Waziri wa...
By Hamisi MgutaApril 3, 2020Yeremia Kulwa Maganja, aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, amejivua uanachama wa chama hicho, kwa madai kwamba kimegubikwa na hila. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaApril 1, 2020SERIKALI ya Tanzania imeripoti kifo cha kwanza cha Mgonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta…(endelea)....
By Hamisi MgutaMarch 31, 2020JUMLA ya viongozi na wafuasi 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kutenda makossa saba. Anaripoti Hamis Mguta, Dar...
By Hamisi MgutaMarch 23, 2020RAIS John Magufuli ameagiza, wageni wote watakaoingia nchini, wawekwe karantini kwa siku 14 kwa gharama zao. Anaandika Hamis Mguta,Dar es Salaam…(endelea). kwa sasa,...
By Hamisi MgutaMarch 22, 2020DAKTARI Faustine Ndugulile, Naibu Waziri wa Afya amesema, ugonjwa wa corona (COVID-19) unatesa zaidi wenye kinga dhaifu. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …...
By Hamisi MgutaMarch 17, 2020MANENO ya Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini baada ya kutoka jela, yamemtumbukia nyongo Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa Itikadi na...
By Hamisi MgutaMarch 15, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekamilisha mchakato wa kumtoa kifungoni mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, aliyekuwa anatumikia kifungo cha miezi mitano kwenye Gereza...
By Hamisi MgutaMarch 13, 2020DAKTARI Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametuma salamu...
By Hamisi MgutaMarch 11, 2020DAKTARI Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kabla ya kujiunga Chama cha Mapinduzi (CCM), amejikuta kwenye wakati...
By Hamisi MgutaMarch 10, 2020JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema amekutana na Rais John Magufuli na kumuuliza, hatima ya Tanzania. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...
By Hamisi MgutaMarch 3, 2020SIKU mbili baada ya Bernald Membe kusema, uamuzi wa kumkabili Dk. John Magufuli kwenye urais ndani ya chama hicho, ndio uliomfukuzisha, Dk. Bashiru...
By Hamisi MgutaMarch 2, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinaendelea kukimbiwa na baadhi ya makada wake muhimu, tena waliokuwa na mamlaka. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...
By Hamisi MgutaFebruary 26, 2020ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi ndani na nje ya nchi, amesema ‘sasa naomboleza kifo cha mama yangu.” Anaripoti Hamis Mguta, Dar...
By Hamisi MgutaFebruary 24, 2020WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kampuni za upangaji na upimaji kutochukua kazi mpya kabla ya kumaliza kazi...
By Hamisi MgutaFebruary 24, 2020KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amechukua fomu ya kugombea ukatibu mkuu wa chama hicho....
By Hamisi MgutaFebruary 20, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeongeza siku tatu katika Zoezi la Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura katika mkoa wa Dar es Salaam,...
By Hamisi MgutaFebruary 20, 2020MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Moshi Vijijini, Anthony Komu “amesema, ikiwa Chadema itamshinda, atajiunga na chama kingine...
By Hamisi MgutaFebruary 19, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu mapigo baada ya aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Vincent Mashinji kuhamia Chama Cha Mapinduzi...
By Hamisi MgutaFebruary 19, 2020HATMA ya Mazungumzo kati ya Erick Kabendera na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kufahamika jumatatu tarehe 17 Februari 2020. Anaandika Faki Sosi, Dar es Salaam...
By Hamisi MgutaFebruary 16, 2020RAIS John Magufuli ameweka msisitizo kuwa, serikali haitatoa msaada wa aina yoyote kwa watu waliojenga mabondeni, pindi watakapopata maafa ya mafuriko. Anaripoti Hamis Mguta,...
By Hamisi MgutaFebruary 11, 2020HATUA ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Taifa, kusoma hadharani barua aliyomuandikia Rais John Magufuli, imekebehiwa. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaFebruary 10, 2020SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limetangaza kusitisha huduma za usafiri wa treni za abiria na mizigo kwa muda, hasa kati ya Dar es...
By Hamisi MgutaFebruary 5, 2020DHAMIRA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kutaka kumtimua Zitto Kabwe bungeni, kupitia Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), imepingwa. Anaripoti Hamis Mguta, Dar...
By Hamisi MgutaFebruary 2, 2020MFANYABIASHARA wa pombe kali na Mkurugenzi wa Kampuni ya Jaluma General Suppliers Limited Lucas Mallya na wenzake wanane, wamefikishwa mahakamani kwa makosa 28...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2020MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita leo amezuiwa kuhudhuria kikao cha Kamati ya Mipango Miji, Mazingira na Usafirishaji kilichopangwa kufanyika...
By Hamisi MgutaJanuary 23, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), imeeleza kufanikiwa kuokoa zaidi ya Sh. 4 Bil baada ya kufanyia kazi ripoti ya...
By Hamisi MgutaJanuary 22, 2020