Author Archives: Hamisi Mguta

Jicho la Lissu kwa Aboud Jumbe

Alhaj Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia. Akiwa na miaka 96, Jumbe aliishi muda mrefu sana kwa kigezo chochote kile, anaandika Tundu Lissu. Alikuwa mwasisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mara ...

Read More »

Njaa kali yaja

SABABU ya Rais John Magufuli kusema hatagawa chakula kwa wananchi watakaokumbwa na njaa, ni kutokana na serikali kutokuwa na akiba ya kutosha, anaandika Shaaban Matutu. Rais Magufuli ametoa agizo kwa ...

Read More »

Magufuli amlilia Jumbe

DK. John Magufuli rais wa Tanzania ametuma salamu za rambirambi kwa Ally Mohamed Shein, rais wa Zanzibar kufuatia kifo cha Aboud Jumbe, aliyekua rais wa awamu ya pili Zanzibar, anaandika ...

Read More »

Aboud Jumbe afariki Dunia

ABOUD Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa za awali zinaeleza kuwa kiongozi huyo aliyewahi kuwa mwenyekiti ...

Read More »

Wafugaji waomba afueni kwa serikali

WANACHAMA wa Chama cha Wafugaji Tanzania, wilayani Kilombero, Morogoro wameiomba serikali kuweka utaratibu utakaowawezesha kuondokana na vipigo, manyanyaso na maafa wanayoyapata kutoka kwenye hifadhi zilizopo jirani na maeneo yao, anaandika ...

Read More »

‘Kulima kisasa kunafungua masoko’

WAKULIMA nchini wametakiwa kulima kisasa zao la mahindi na kuhifadhi vizuri kulingana na vigezo vinavyostahili ili kuweza kupata soko la ndani na nje ya nchi, anaandika Christina Haule. Emmanuel Msuya, ...

Read More »

Polisi wamnyima Lissu dhamana

JESHI la Polisi, kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemnyima dhamana, Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kumaliza kuhojiwa katika kituo kikuu cha ...

Read More »

Lissu funga kazi, polisi watweta

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki amefikishwa katika Kituo cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam kwa mahojiano, polisi wamekuwa na kazi ya ziada, anaandika Shaban Matutu. Idadi ya ...

Read More »

Mikoa ya Korosho yaongezwa

  BODI ya Korosho Tanzania imeongeza mikoa ya uzalishaji wa zao hilo sambamba na kuongeza wabanguaji wadogo, anaandika Christina Haule. Mikoa iliyoongezwa katika uzalishaji korosho ni Morogoro, Dodoma, Singida na ...

Read More »

Dk. Mponda awapa ahueni wananchi

KITUO cha Afya cha Mtimbila wilayani Malinyi, Morogoro kimekabidhiwa mashine ya kufulia na kukausha nguo yenye thamani ya Sh. 4.7 Milioni ili kuwasaidia wananchi hasa wanawake kuondokana na adha ya ...

Read More »

CCM wakwaa kisiki Morogoro

MAHAKAMA kuu ya Tanzania imetupilia mbali mashtaka mawili ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyofunguliwa dhidi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika majimbo ya Kilombero na Mlimba ...

Read More »

Baba Kundambanda afariki Dunia

ISMAIL Issa Makombe ‘Baba Kundambanda’, msanii maarufu wa vichekesho na aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CUF, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, anaandika Hamisi Mguta. Akizungumza ...

Read More »

Kiwanda cha 21st Century chaungua

BAADHI ya mitambo, nguo na malighafi katika Kiwanda cha Nguo cha 21st Century kilichopo Kihonda, Morogoro vimeteketea kwa moto na kusababisha hasara, anaandika Christina Haule. Akizungumzia moto huo Clement Munisi, meneja uzalishaji ...

Read More »

Wanaomsifu rais wanamharibu-2

KATIKA utawala wa Rais Benjamin Mkapa, kutokana na uandishi wangu wa kukosoa serikali, ilifika mahali vijana wake wakanifikishia ujumbe mzito, kwamba nisipoacha ‘kumlima’ rais, nitakiona, anaandika Ansbert Ngurumo. Kwa hiyo, sishangai ubabewa Rais ...

Read More »

Wakiukaji sheria, utaalamu mipangomiji kukiona

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameitaka bodi ya usajili wa wataalamu wa mipangomiji kuwachukulia hatua wataalamu wa mipangomiji wanaotumia jina la halmashauri kutekeleza kazi za ...

Read More »

Ummy Mwalimu: sheria ya ndoa ya 1971 irekebishwe

BAADA  ya Mahakama Kuu nchini kubatilisha ndoa ya chini ya umri wa miaka 18 ya mtoto wa kike wiki iliyopita , Ummy Mwalimu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na ...

Read More »

Daktari ‘feki’ anaswa

ZACHARIA Benjamin (35), mkazi wa Morogoro amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujifanya daktari, anaandika Christina Haule. Jeshi hilo linamshikilia Benjamin kwa tuhuma za kuingia katika Hospitali ya Rufaa ...

Read More »

Aliyekataa U-DC, akubaliwa

HATIMAYE Dk. John Magufuli, Rais wa Tanzania amesikia kilio cha Ally Masoud Maswanya, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mbeya cha kuomba uteuzi wake utenguliwe kutokana na sababu binafsi, anaandika ...

Read More »

Tumbua ya Magufuli yatua TIB

FALSAFA ya Rais John Magufuli ‘tumbua jipu’ inaendelea ambapo leo, amemtubua Prof. William Lyakurwa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Benki ya Maendeleo ya TIB, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa, Kaimu ...

Read More »

Wabunge Ukawa walaani onevu wa Polisi Z’bar

WABUNGE wa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (Ukawa) wamelaani vitendo vya uenevu vinavyofanywa najeshi la Polisi Visiwani Zanzibar, anaandika Faki Sosi. Vyama vianavyounda ukawa ni pamoja na Chama Cha ...

Read More »

Waganda wanaswa na pembe za Ndovu

  JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Saalam limewakamata watu wawili Raia wa Uganda wakiwa na pembe 660 za Ndovu pamoja na mashine ya kukatia pembe hizo, anaandika Hamisi Mguta. ...

Read More »

Mshukiwa mauaji msikitini Mwanza auawa

MTU mmoja anayedaiwa kuhusika katika mauaji yaliyotokea katika Msikiti wa Rahma, jijini Mwanza ameuawa, anaandika Hamisi Mguta. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo limeeleza kumuua Salum Saidi ...

Read More »

Tanzania kukabili changamoto za maendeleo

SERIKALI ya Tanzania imejipanga kukabili changamoto zilizojitokeza katika mpango wa kwanza wa maendeleo endelevu (UNDAP 1)2011-15, anaandika Hamisi Mguta. Hayo yameelezwa leo na Dk. Sifuni Mchoma, Katibu mkuu wizara ya ...

Read More »

NEC: Mchakato Katiba Mpya upo palepale

DAMIAN Lubuva, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amesema, mchakato wa kura za maoni na Katiba Mpya upo palepale, anaandika Hamisi Mguta. Akizungumza leo mbele ya waandishi wa ...

Read More »

NEMC latoa msimamo mpya

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeeleza kuwa, waanzilishi wa mradi wowote unaohusisha mazingira ni lazima wapate cheti cha mazingira, anaandika Hamisi Mguta. Jaffar Chimgege, Mratibu ...

Read More »

Lukuvi aipa siku 10 kamati ya ardhi

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa siku 10 kwa kamati ya ardhi kutoa maelezo namna watakavyotatua mgogoro wa nyumba kwa wakazi wa Magomeni Kota (Magomeni ...

Read More »

Magufuli aanza kusafishwa

AMOS Siyantemi, Mwenyekiti wa kampeni ya vitabu na mdahalo (KVM) amesema Dk. John Magufuli, rais wa Tanzania si dikteta kama watu wanavyosema, anaandika Hamisi Mguta. Siyantemi ameyasema hayo wakati akizundua kitabu ...

Read More »

Ndoto ya Gwajima CCM kutimia

NDOTO ya Josephat Gwajima, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima inaelekea kutimizwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Hamis Mguta. CCM kimeeleza kuwa, Dk. Jakaya Kikwete, mwenyekiti wa sasa wa ...

Read More »

CUF yamtega Lipumba

  CHAMA cha wananchi CUF kimesema mkutano mkuu wa taifa ambao unategemewa kumpata Mwenyekiti wa chama hicho, upo pale pale, na kuweka msimamo kuhusu Ibrahimu Lipuma kuwa kama anataka kurejea ...

Read More »

Madereva mwendokasi waendeleza mgomo

HUDUMA ya usafiri inayotolewa na mabasi yaendayo kwa kasi jijini Dar es Salaam ipo shakani kufuatia madereva wa mabasi hayo kuendeleza mgomo wakilalamikia kile wanachokiita mkataba ‘tata’ waliopewa, anaandika Hamisi ...

Read More »

Serikali: Utalii umechangia 17%

SERIKALI imesema kwamba, Sekta ya Maliasili na Utalii imechangia kiasi cha asilimia 17 katika pato la Taifa, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa leo bungeni na Ramo Makani, Naibu Waziri wa ...

Read More »

Zitto: Rais Magufuli ajiandaye

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo leo ametoka hadharani na kusema, ‘Rais John Magufuli ajiandae kuongoza nchi kwa muhula moja,’ anaandika Hamisi Mguta. Zitto ambaye pia ni Mbunge wa ...

Read More »

Wahariri MAWIO, Lissu kortini

SIMON Mkina, Jabir Idrissa na Tundu Lissu kesho watapandishwa katika Mahakama ya Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya uchochezi, anaandika, Hamisi Mguta. Mkina ni Mhariri wa Gazeti la MAWIO, Jabir Idrissa, ...

Read More »

Rais Magufuli apangua baraza la Mawaziri

DK John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya maabdiliko ya baraza la Mawaziri wake kwa kumteua Charles Tizeba kuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, anaandika ...

Read More »

Bei ya vyakula yapaa Morogoro

WAKAZI wa Mji wa Morogoro wamelalamika kupanda maradufu kwa bei ya vyakula ikiwemo magimbi, mihogo, viazi pamoja na sukari, anaandika Christina Haule. Mwandishi wa Mwanahalisi Online ameshuhudia hali hiyo kwenye maeneo ...

Read More »

Wavamizi mwendo kasi kukiona

MOHAMMED Mpinga, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani amesema, Jeshi la Polisi halitatoa adhabu ya kulipa faini kwa madereva wa vyombo vya moto watakaopita barabara ya mabasi ya mwendokasi ...

Read More »

Mwezi Mtukufu watengua kanuni bungeni

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua kanuni kanuni ya 153 (1) kutokana na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, anaandika Hamisi Mguta. Hayo yameelezwa  bungeni leo na Jenister Mhagama, Waziri ...

Read More »

Wananchi waomba ufafanuzi maliasili

WANANCHI waishio jirani na hifadhi za wanyama wilayani Ulanga, Morogoro wameiomba serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kuwapa ufafanuzi wa kupata fidia pale wanyama pori wanapoingia kwenye mashambani yao ...

Read More »

Tanga waanza kutumbuana

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi, Tanga limewasimaisha kazi watumishi wawili  na wengine wawili kupewa adhabu kwa madai ya ukikwaji wa taratibu za utumishi wa umma, anaandika Christina ...

Read More »

Ngono na mwanafunzi yaleta msukosuko Ushirombo

TUMBO John Madaraka, Afisa Tarafa wa Siloka, Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, yupo matatani kwa kufanya ngono na mwanafunzi, na kusababisha ashindwe kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha ...

Read More »

Vijana wavamia, wapora Dar

KUNDI la vijana wakiwa na mikuki, mapanga na magobole wamevamia nyumba kadhaa za wakazi wa Buza, Mjimpya jijini Dar es Salaam na kupora vitu mbalimbali vya thamani usiku wa kuamkia ...

Read More »

Utata dhamana ya ‘wabakaji, ulawiti’ Dakawa

DHAMANA ya watuhumiwa wa ubakaji, ulawiti na usambazaji wa picha chafu katika eneo la Dakawa, Morogoro imeibua utata, anaandika Christina Haule. Mvutano mkali umeibuka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro ambapo ...

Read More »

Maalim Seif pasua kichwa

SERIKALI ya Dk. Ali Mohammed Shein haipati usingizi. Ni kutokana na Maalim Seif Shariff Hamad kuumiza vichwa vyao, anaandika Hamisi Mguta. Jeshi la Polisi visiwani humo leo limemuhoji Maalim Seif, ...

Read More »

‘Wabakaji’ Dakawa waanza kusota

WATU sita wanaodaiwa kumbaka na kumlawiti msichana kisha kumrekodi na kusambaza video hiyo, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, anaandika Christina Haule. Miongoni mwa watuhumiwa hao ni pamoja na ...

Read More »

Buhari: Sitaki kuombwa radhi

 MUHAMMADU Buhari, Rais wa Nigeria amekataa kuombwa radhi na David Cameroon, Waziri Mkuu wa Uingereza aliyelitaja taifa lake (Nigeria) kuwa ni miongoni mwa mataifa yaliyo na ufisadi mkubwa, anaandika Wolfram ...

Read More »

DART wafanya safari za majaribio

WAKALA mradi wa mabasi yaendayo haraka (Dart), leo wameanza kutoa mafunzo kwa wananchi namna ya kutumia vituo vya mabasi hayo na namna ya kulipa nauli, anaripoti Hamisi Mguta. Ni baada ...

Read More »

Lipumba: Magufuli ananyanyasa wafanyabiashara

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mtaalam aliyebobea kwenye masuala ya Uchumi amesema Rais wa Tanzania John Magufuli anatumia cheo kuwanyanyasa wafanyabiashara, anaripoti Hamisi Mguta. Lipumba ameyasema hayo katika mahojiano ya moja kwa ...

Read More »

Rais Magufuli ampiku Kikwete

RAIS John Magufuli amempiku Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete katika kushusha kiwango cha makato ya kodi za mishahara kutoka asilimia 11 aliyoiacha (Kikwete) na kuwa asilimia 9, anaandika Hamisi Mguta. Kwa ...

Read More »

Trump anusa ushindi Republican

LICHA ya upinzani mkali kutoka katika baadhi ya majimbo, Donald Trump amepiga hatua katika kukaribia kutwaa tiketi ya kuwania urais kupitia Chama cha Republican nchini Marekani baada ya kushinda mchujo ...

Read More »

Uchomaji Kituo cha Polisi Bunju A, 17 huru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washtakiwa 17 kati ya 35 wanaokabiliwa na kesi ya kuchoma moto Kituo cha Polisi Bunju ‘A’ baada ya Upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashtaka, anaandika ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube