DAKTARI wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini Bernard Membe, ameondoa utata kuhusu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe na...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023CHAMA tawala cha China (CCP), kimewaadhibu zaidi ya maofisa 110,000, katika mapambano ya ufisadi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kwa mujibu...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023WANAKIJIJI zaidi ya 4,000 wa Kinyang’erere, Musoma Vijijini mkoani Mara, wameepukana na adha ya usafiri baada ya Serikali kujenga barabara inayowaunganisha katika...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023TANZANIA imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuMay 12, 2023KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Samwel Shelukindo amekutana na kuzungumza na mabalozi wa China,...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023HATIMAYE Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) leo Alhamisi wamekusanyika kwenye viwanja vya posta ya zamani jijini Dar es salaam na kuandamana...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023UNAHITAJI urahisi wa odds kubwa, michezo mingi ya kasino ya mtandaoni, kuhusu machaguo mengi, ofa na promosheni na bonasi juu, ichague Meridianbet...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023MAKAMU wa Rais wa Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kuichabanga timu ya Marumo Galants kutoka nchini Afrika Kusini jumla ya bao 2-0...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023ZAIDI ya wakazi 12,500 wa vijiji vya Milola na Mavimba Wilayani Ulanga mkoani Morogoro wanatarajia kunuafaika na mradi wa maji wenye thamani...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema pori la Akiba Kilombero ni chachu ya kufungua fursa za utalii ikiwemo shughuli za...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023KAMPENI ya GGML Kili Challenge inayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023TANZANIA na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo vya biashara ili kuendelea kuboresha ushirikiano kati ya mataifa hayo kwenye nyanja mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Makubaliano...
By Mwandishi WetuMay 10, 2023WAWAKILISHI pekee katika Kombe la Shirikisho barani Afrika, Klabu ya Yanga SC imejiweka nafasi nzuri ya kutinga Fainali ya Michuano hiyo baada ya...
By Mwandishi WetuMay 10, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zote za wilaya na miji, kwenye maeneo yenye madini ziandae sheria ndogo (by-laws) kwa kushirikiana na wadau...
By Mwandishi WetuMay 10, 2023JESHI la Polisi Tanzania, limemuaga rasmi IGP Mstaafu, Balozi Simon Sirro leo tarehe 10 Mei 2023 baada ya kustaafu Utumishi ndani ya Jeshi...
By Mwandishi WetuMay 10, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameliomba jeshi la polisi nchini kuendelea kumsaka aliyehusika na shambulio dhidi...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023MANENO kidogo pesa nyingi kauli hii inathibitishwa na moja ya mteja wa Meridianbet (Jina lake limehifadhiwa) alicheza Sloti ya Aviator na kupiga...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023MBUNGE wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) leo Jumanne ameangua tena kilio bungeni na kutoka nje ya ukumbi wa mhimili huo kwa...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kuharakisha maendeleo ya kiuchumi, Benki ya NMB na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023AKAUNTI 15 zinazomilikiwa na Mchungaji mtata, Ezekiel Odero, zimeamriwa na Mahakama nchini Kenya kuzuiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zinasema, amri...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), umeendelea kusambaza maji katika vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023KAMPUNI ya Meridianbet katika kuhakikisha inarudisha fadhira kwa kwa jamii, iliandaa shindano la mikwaju ya penati ambapo kila itakayozaa goli inalipwa Sh....
By Mwandishi WetuMay 8, 2023CHAMA Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Serikali ianze kutekeleza dhana ya maridhiano mapema kabla ya kubandika kwenye matangazo kuwa wameridhiana kumbe si...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewataka viongozi wa dini nchini kuwa na utaratibu wa kusuluhisha migogoro yao wenyewe badala ya kuipeleka mahakamani....
By Mwandishi WetuMay 8, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimeunga mkono na kuikaribisha kwa mikono miwili hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kumuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023JESHI la Polisi nchini limeanza uchunguzi wa kifo cha mwanafuzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Nusura Hassan Abdallah kinachodaiwa kutokana na kipigo...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023NAIBU Waziri wa Madin Dk. Steven Kiruswa ametoa wiki moja kuweka alama (bicon) kwenye mipaka baina ya wawekezaji wawili wa uchimbaji wa madini...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023CHAMA cha Walimu (CWT) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, kimesema juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan zinatoa muelekeo chanya wa ukuaji wa sekta...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023MHUBIRI mwenye utata kutoka nchini Kenya, Paul Mackenzie pamoja na mkewe ambao wamedaiwa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100 ambao waliwalazimisha kufunga...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023BENKI ya NMB imekarabati na kukabidhi wodi ya wazazi pamoja na vifaa tiba kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ukarabati huo uliogharimu zaidi...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023MFALME Charles wa tatu wa Uingereza ametawazwa leo Jumamosi huko Westminster Abbey kama ilivyokuwa kwa wafalme wengi wa nchi hiyo waliomtangulia. Mara ya...
By Mwandishi WetuMay 6, 2023MHUBIRI mwenye utata wa kanisa la Good News International lililopo kaunti ya Kilifi Malindi, Kenya na mkewe Rhoda Mackenzie pamoja na watuhumiwa wengine...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023UKUAJI wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha Sh. 27.8 bilioni kwa mwaka 2015 hadi Sh. 94.5 bilioni kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Naysan Sahba amesema Tanzania ina mazingira mazuri ya kulinda...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima ameliomba Shirikisho la vyama vya wachimbaji Tanzania (FEMATA) kusimamia suala la utunzaji wa mazingira kwa wachimbaji...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023KAMPUNI ya Vodacom kwa kushirikiana na Infinix leo wametangaza uzinduzi wa simu mpya ya Infinix toleo la HOT 30 pamoja na kampeni ya...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023KUKITHIRI kwa uhaba wataalam wa kidijitali nchini China huku mahitaji ya watalaam hayo yakiongezeka wakati wa kujiimarisha kiuchumi kumetajwa kuwa ni dosari nchini...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea kuwasogelea wateja wake baada ya kufanya uzinduzi wa maduka ya kubetia katika maeneo mbalimbali na safari hii wamezindua...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023MSANII mahiri wa Afro- Dancehall kutoka nchini Ghana aliyesainiwa na lebo ya Def Jam Records, Stonebwoy ameachia albamu mpya ya 5th Dimension, ikiwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wa michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya Nne kuweka nguvu katika kuhakikisha...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ameishauri Serikali kupandisha ukuaji wa uchumi wa nchi ili kuondoa umasikini unaowakabili wananchi....
By Mwandishi WetuMay 4, 2023Spika wa Bunge, Tulia Ackson leo Alhamisi amesema licha ya kuwepo kwa chokochoko kwamba aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema, Joseph Mbilinyi...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023BUNGE la Uganda jana Jumanne limepitisha rasimu mpya ya muswada wa kupambana na ushoga nchini humo, huku likibakisha baadhi ya vipengele ambavyo Rais...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetangaza viwango vipya vya kodi ya majengo vinavyokusanywa kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amesema Serikali imeahidi kuhakikisha tasnia ya habari inasonga mbele kwa kutatua...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua umuhimu...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023UMOJA wa Mataifa umeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini licha ya kukosolewa vikali...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023UJANGILI wa wanyamapori bado ni tatizo kubwa katika hifadhi za Taifa. Kwa nchi yetu tuna jumla ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023MERIDIANBET imetanbulisha promosheni mpya ya bonasi ya ukaribisho kutoka kasino ya mtandaoni ambayo inayompa mteja mpya anapata Sh 25,000 na mizunguko 50 ya bure...
By Mwandishi WetuMay 3, 2023