BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Mkoa wa Kilimanjaro, wamemchongea kwa Rais Samia Suluhu Hassan mtumishi wa Shule...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameitoa nchi gizani katika masuala ya uhuru wa habari...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023MACHI 8 kila mwaka Siku ya Kimataifa ya Wanawake duniani ambayo huadhimishwa kwa lengo kuongeza chachu katika harakati za mapambano ya kuleta usawa...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023MWANDISHI wa Habari mwandamizi wa gazeti la Nipashe kutoka kampuni ya IPP Media, Richard Makore amefariki dunia katika ajali iliyoua watu saba eneo...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso anatarajia kufungua Kongamano la Kimataifa la Maji la Kisayansi litakaloshirikisha takribani nchi 26 duniani ambalo litafanyika kwa...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023TANZANIA imeungana na mataifa 180 duniani kushiriki maonesho makubwa ya utalii duniani (International Tourism – Börse Berlin) yanayofanyika katika jiji la Berlin...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Wafanyakazi Wanawake wa kampuni ya Barrick kutoka ofisi ya Dar es Salaam wametembelea hospitali ya Rufaa...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023SERIKALI imepiga marufuku huduma ya bweni kwa wanafunzi wa umri mdogo kuanzia darasa la awali hadi darasa la nne. Anaripoti Judith Mbasha,...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imepanga tarehe 20 Aprili 2023, kutoa uamuzi wa rufaa iliyokatwa na Mwanahabari Saed Kubenea,...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amekabidhi jumla ya pikipiki 61 kwa Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023SHEIKH Said Ukatule, aliyekuwa mahabusu ya Gereza Kuu la Ukonga, jijini Dar es Salaam, alikokuwa akishikiliwa na serikali kwa mashitaka ya ugaidi,...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023JUMLA ya wauguzi/manesi saba wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama wamefikishwa polisi baada ya kudaiwa kuwauzia dawa wagonjwa usiku wa manane. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023SHULE ya Sekondari ya Alpha ya jijini Dar es Salaam imezindua mfumo wa kupima na kugundua vipaji vya watoto kidigitali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023KUTAWALA kwa vurugu na rushwa kumetajwa kuwa chanzo cha kutofanyika kwa Mkutano Mkuu wa Chama cha TLP ambao ulikuwa na ajenda ya...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023MAWAKILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameiomba Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, wafunge maswali ya dodoso kwa baadhi...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema changamoto zinazoikabili Bandari ya Malindi, Zanzibar, haitokani na kuwa na gati moja, kama ilivyoelezwa na Rais wa visiwa...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi na watendaji wa Serikali, kuacha kufanya maamuzi kwa kisingizio cha maagizo kutoka juu, bali kwa kufuata...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi , amesema Serikali yake inakusudia kuboresha miundombinu ya bandari pamoja na hifadhi ya kutosha ya mafuta,...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeendelea kuvuna wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) baada ya kuwapokea 305 kupitia mkutano wake wa hadhara uliofanyika Viwanja...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023MKUU wa mkoa wa Geita, Martin Shigella amesema amekubaliana na wakuu wa wilaya za mkoa huo kwamba hakuna mtumishi yeyote atakayekamatwa na...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023ROEL Degamo (56), Gavana wa jimbo la katikati mwa Ufilipino pamoja na watu wengine watano, wameuawa jana Jumamosi, tarahe 4 Machi, kwa...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023VYOMBO vya habari vya kigeni nchini China vilipitishwa kwenye hali ngumu wakati taifa hilo linatekeleza sera yake ya kupambana na Uviko-19 ambapo inadaiwa...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2023NDOA baina ya Jesca David Kishoa, mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri na David Kafulila, Kamishena katika wizara ya fedha,...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeliamrisha gazeti la kila siku linalochapishwa kwa lugha ya Kiingereza nchini la The Citizen, kumlipa fidia ya Sh. 2.5...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), Dk. Samuel Gwamaka ameitaka miradi ya maendeleo inayoanzishwa iwe inazingatia uhifadhi...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023MISINGI imara ya udhibiti wa hali ya usalama katika utendaji kazi ndani na nje ya Mgodi wa Geita Gold Mining Limited. (GGML), imeendelea...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imekutana na Vyombo vya Uchunguzi kwaajili ya kupitia Kanuni za Wamiliki Manufaa wa Kampuni...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023VIONGOZI wa Vyama vya Ushirika wilayani Mbozi, wamemjia juu mbunge wa Jimbo la Mbozi, George Mwenisongole, kwa kutoa tuhuma za wizi wanazodai...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023MWAKILISHI wa Jimbo la Mtambwe, visiwani Zanzibar, kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Habib Ali Mohamed, amefariki dunia, wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023MASHINDANO ya mpira wa miguu ya Kimwanga CUP ya kuwania ng’ombe yanazidi kutimua vumbi huku timu kadhaa zikiendelea kumenyana katika hatua ya makundi....
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023WAKULIMA wa alizeti mkoani Singida, wamemwomba Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuishauri serikali iongeze kodi ya mafuta ya...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameonesha kutoridhika na kitendo cha baadhi ya Mawaziri kuajiri maafisa habari binafsi kwaajili ya kuripoti habari zao na...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dk. John Mduma, amesema hadi kufikia tarehe 30 June 2012 umefanikiwa kusajili waajiri...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023KAMPUNI ya Vodacom Tanzania PLC inatarajia kutangaza kampuni bunifu chipukizi tatu zilizoibuka na ushindi wa msimu wa pili wa programu ya Vodacom...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema hana lengo na hapendi kubadilisha viongozi mara kwa mara kwa kuwa anafahamu madhara yake, ikiwemo kuchukua...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka mawaziri kueleza mafanikio ya Serikali mara kwa mara, ili kudhibiti baadhi ya watu wanaofanya upotoshaji. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023KATIBU Mkuu Kiongozi, Dk. Moses Kusikulika, amesema mada tano zitajadiliwa katika mkutano wa faragha wa siku tatu wa mawaziri na makatibu wa...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023MUDA mfupi baada ya kuwasili Tanzania akitokea uhamishoni nchini Canada, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema tangu kimechukua madaraka baada ya Tanzania kupata uhuru, kimefanya mageuzi mengi katika sekta ya elimu, kwa kujenga vyuo...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, amewasili nchini akitokea Canada, alikokuwa akiishi tangu 2020 baada...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kupingana na mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wassira, kuhusu Serikali za Majimbo, baada ya chama hicho...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeahidi kumjibu hadharani Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, kufuatia kauli yake aliyotoa kuhusu sakata la Uwanja wa Ndege...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2023TANGU kuanza utaratibu wa baadhi ya wananchi kukopa mikopo ambayo mingine imegeuka kuwa ‘kausha damu’, changamoto nyingi zimeibuliwa ikiwa ni pamoja na kuvunjika...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2023WANANCHI wa kijiji cha Shinji kata ya Mbebe wilayani Ileje mkoani Songwe wamesema hawana imani na Mwenyekiti wa kijiji hicho, Ali Kalinga kutokana...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023WASHINDI saba wa kampeni ya kuhamasisha matumizi ya kadi iliyoondeshwa na Benki ya NMB ‘NMB MastaBata – Kote Kote’ wameagwa na kukabidhiwa tiketi...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023MAHAKAMA Kuu, kanda ya Dar es Salaam, imepanga kusikiliza shauri la jinai, lililofunguliwa na mwanahabari mahiri nchini, Saed Kubenea, dhidi ya Paul Makonda,...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023MGOMBEA wa chama tawala Bola Ahmed Tinubu anaongoza uchaguzi mkuu wenye ushindani mkali zaidi nchini Nigeria tangu nchi hiyo irejee kwa demokrasia...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023KANISA Kuu la Kiaskofu la Jimbo Katoliki la Geita, limefungwa kuanzia jana Jumatatu hadi tarahe 18 Machi 2023, kwa ajili ya kusubiri...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023ELON Musk amerejea katika nafasi ya kuwa mtu tajiri zaidi duniani, baada ya kupoteza kwa muda mfupi taji kwa Bernard Arnault wa...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023BAADA ya kuibua mjadala kufuatia hatua yake ya kuhutubia mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, Balozi Dk. Wilbroad...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023