Friday , 26 April 2024

Month: June 2019

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Mungu amewaumbua

RAIS John Magufuli amesema, Mungu amewaumbua watu waliodhihaki hatua ya serikali kufanya mazungumzo na Kampuni ya Bharti Airtel International mwaka mmoja uliopita. Anaripoti Regina...

Habari Mchanganyiko

Mfumuko wa bei wapaa

MFUMKO wa bei umeongezeka kutoka asilimia 3.2 mwezi Aprili, hadi asilimia 3.5 mwezi Mei mwaka huu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza na...

Habari za Siasa

Kamisha mpya TRA apewa majukumu mazito

DAKTARI Edwin Mhede, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ameapishwa leo huku akipewa majukumu mawili mazito. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Kwanza...

Habari Mchanganyiko

Wizara yapongezwa kupitisha sera ya mkaa

MENEJA wa mradi wa kuleta maeuzi katika Sekta ya mkaa Tanzania (TTCS), Leonard Charles ameishukuru  Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuamua kuunda...

Habari Mchanganyiko

Tuhuma za rushwa: Ofisa TRA, Polisi wapandishwa kizimbani

CHARITY Ngwala (28), Ofisa Msaidizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), H 4810 PC Ramadhani Uweza (28) na H 48 86...

Habari za SiasaTangulizi

Pangua pangua ya Rais Magufuli, ilianzia siku ya kwanza ya kuingia Ikulu 

RAIS John Magufuli, amebakiza mwaka mmoja na ushei kukamilisha ngwe yake ya kwanza ya miaka mitano. Akibahatika aweza kuendelea kuhudumu katika kipindi kingine...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awananga wapinzani

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ametumia ujio wa Mukabalisa Donatile, Spika wa Bunge la Rwanda kuwanaga wapinzani nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Spika Ndugai...

Tangulizi

Mambo magumu TRA: Maofisa waanza kudakwa

MAOFISA watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wanaotajwa kuhusika kuomba rushwa kwa mfanyabiashara Ramadhan Ntunzwe, watapandishwa kizimbani muda wowote kuanzia sasa. Anaripoti...

Habari za Siasa

Spika Ndugai atetea abiria wa Z’bar

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameishauri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuangalia uwezekano wa kuongeza kilo zinazopimwa kwa abiria wanaosafiri na boti...

Habari Mchanganyiko

AZAKI zatakiwa kusimamia fedha za miradi vizuri

SERIKALI imezitaka Asasi za Kiraia (AZAKI) kusimamia vyema matumizi ya fedha za miradi, ili ziwanufaishe walengwa. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). Wito huo umetolewa na...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Mradi wa REA haulipi fidia

SERIKALI imesema, hakuna malipo ya fidia kwenye maeneo ya wananchi,yanayopitiwa na mradi wa usambazaji umeme vijijini unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA)....

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif akabidhiwa cheo ACT-Wazalendo, yumo Jussa, Bimani, Mazrui

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemteua Maalim Seiff Sharif Hamad, kuwa mshauri mkuu wa chama hicho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Gwiji huyo wa siasa...

Habari za SiasaSiasaTangulizi

Lipumba maji ya shingo, Maalim Seif kicheko

KWA mara ya kwanza, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amekiri kwamba, chama chake kinahemea pomoni. Anaandika Mwandishi Wetu …(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Familia yarejesha ‘uhai’ wa Kapteni Komba

FAMILIA ya aliyekuwa gwiji wa sanaa nchini, Kapteni Jonh Komba, inatarajia kuzindua taasisi ya kumbukumbu ya kuenzi sanaa yake. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba: CUF iko kwenye kipindi kigumu

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, amesema chama hicho kinapitia kipindi kigumu kwa sasa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli atapata lini ‘First Eleven’ ya serikali yake?

RAIS John Pombe Magufuli, amemng’oa kwenye wadhifa wake, Kamishena Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere na kumteuwa Edwin Mhende, kushika...

Habari za Siasa

Marufuku wanaosimamia biashara kuwa vyanzo vya mapato

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za umma zenye jukumu la kudhibiti na kusimamia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: msitishike na kauli ya ‘maagizo kutoja juu’

RAIS John Magufuli amewataka wafanyabiashara kutokubali kutishwa na msemo wa ‘maagizo kutoka juu’. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Amewataka wafanyabiashara hao kutotekeleza wanachoamriwa,...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wanufaika na mkaa endelevu

WANANCHI wa vijiji 22, wazalishaji mkaa maarufu kama mkaa endelevu na Halmashauri za wilaya wamenufaika kwa kupata fedha zaidi ya Sh. 3 bilioni...

Habari za SiasaTangulizi

Msukuma ‘akabidhi’ ubunge wake kwa JPM 

JOSEPH Kasheku (Msukuma), Mbunge wa Geita (CCM), ameweka rehani ubunge wake kwa Rais John Magufuli kwa ahadi kwamba, iwapo uchunguzi utafanywa na kubaini...

Michezo

Kuelekea AFCON 2019: Mkude, Ajibu watemwa

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Emmanuel Amunike, ametangaza kikosi cha wachezaji 32 watakaondoka leo kwenda Misri kwa ajiri...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ‘aichoka’ TPSF

RAIS John Magufuli ameonesha kutofurahishwa na utendaji kazi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), na kushauri kwamba, kama imeshindwa kutatua changamoto za wafanyabaishara,...

Habari za Siasa

BoT yatuhumiwa mbele ya Rais Magufuli

AMANI Kibondei, Mfanyabiashara wa Ubadilishaji Fedha za Kigeni katika Jiji la Dar es Salaam, ameishtaki Benki Kuu ya Taifa (BoT) kwa Rais John...

Habari za Siasa

JPM atoa onyo kwa wafanyabiashara

RAIS John Magufuli amewataka wafanyabiashara kujenga tabia ya kuwa wakweli kwani, wanapokuwa waongo husababisha serikali kuchukua uamuzi ambao pengine huonekana kutokuwa rafiki kwao. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kiongozi CUF atimkia ACT -Wazalendo

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeendelea kubomoka baada ya Mbaraka Chilumba, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Vijana wa chama hicho (JUVICUF)-Taifa kutimkia ACT-Wazalendo....

Habari Mchanganyiko

Lukuvi aagiza taasisi wadaiwa pango la ardhi kukutana naye

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeagiza taasisi za umma na watu binafsi zaidi 200 zinazodaiwa kodi ya pango la ardhi...

Habari Mchanganyiko

Sheikh wa Dodoma ahimiza amani nchini

SHEIKH wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu amewataka Watanzania kuishi maisha ya kulinda na kutunza  amani. Anaripoti Danson Kaijage … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Uamsho moto; Masheikh wamvaa JPM, Kikwete, Bunge

JUMUIYA na Taasisi za Kiislam nchini, imeibua upya sakata la masheikh wa Uamsho, waliopo mahabusu kwa takriban miaka sita sasa kwa madai ya...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kalemani awaka Watanzania kuchangamkia ajira Bombala Mafuta

WAZIRI wa Nishati Dk. Medard Kalemani amewataka wananchi na wadau wa mkoa  wa Kagera kuwa na utayari katika kuchangamkia fursa na ajira wakati...

Habari Mchanganyiko

TCRA wawaburuza wamiliki wa YouTube kinyemela

WATU wanne wakazi wa sehemu tofauti jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shitaka la kuchapisha maudhui ya...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi mlenga shabaha (Sniper): Sijui kilichomuua Akwelina

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea na usikilizaji wa kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na...

Elimu

HESLB  yabadili mwongozo wa utoaji mikopo

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) imetangaza mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo wa...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuboresha sera ya mbegu

SERIKALI imesema ina mpango wa kuboresha sera ya mbegu ili kuimarisha suala la upatikanaji wa mbegu kimfumo zitakazowasadia wakulima na kuleta tija katika...

Habari za Siasa

Polisi wamtaka Rungwe kuripoti Oysterbay

JESHI la Polisi limemtaka Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa Chama cha Umma (CHAUMMA) kuripoti katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay leo tarehe 3 Juni...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani Tanzania waivaa Tume ya Uchaguzi 

MUUNGANO wa vyama Nane vya upinzani nchini, umetuhumu Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), kuvunja katiba na sheria za nchi, kwa kuendelea kung’ang’ania...

Habari Mchanganyiko

Waziri Makamba: Tutabana mianya yote, atakayetoa taarifa Sh. 3 mil

IKIWA leo tarehe 1 Juni 2019 Serikali imeanza utekelezaji wa marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mlenga shabaha (Sniper) atinga kwenye kesi ya viongozi Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi wa shahidi wa nne kwenye kesi  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema),...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi nilipigwa jiwe na wafuasi wa Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi kwenye kesi ya Uchochezi nambari 112 ya mwaka 2018,  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia...

error: Content is protected !!