BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya kujifungulia kwa kina mama wajawazito zaidi ya 500 katika kituo cha afya cha Mombo kilichopo...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeipongeza Benki ya NMB kwa safari yake ya mafanikio yaliyotukuka ya miaka 25! Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hayo yamesemwa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023RIPOTI ya waandishi wa Habari wasiokuwa na mipaka duniani wanaosimamia tovuti ya ‘Just Earth News’ iliyotolewa mwezi Mei mwaka huu inaiweka China...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023KAMPUNI ya Bia ya Serengeti, mmoja wa wazalishaji wakubwa wa bia nchini, amefichua kuwa analenga kuongeza vyanzo vyake vya malighafi kutoka kwa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023BENKI ya NMB ikiwa inaendeea kusherehekea safari yake ya mafanikio ya miaka 25, iliandaa bonanza la Michezo waliloliita Vuta Nikuvute visiwani Zanzibar. Kikosi...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023BALOZI Willibrod Slaa ameunga mkono uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, lakini ameishauri Serikali kurekebisha kasoro zinazolalamikiwa kwenye mkataba wa uwekezaji...
By Mwandishi WetuJune 13, 2023WACHIMBAJI wa madini ya dhahabu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwa mstari wa mbele kwa kushirikiana na Serikali katika kutatua changamoto mbalimbali ambazo...
By Mwandishi WetuJune 13, 2023MTANDAO wa kupinga utumikishwaji watoto Tanzania, umeiomba Serikali iweke mikakati itakayosaidia kutokomeza ajira za watoto ili kulinda ustawi wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023MKOA wa Shinyanga umeahidi kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na Shirika la Legal Services Facility (LSF), katika utekelezaji wa kampeni...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023WANAJESHI wa Colombia wanahudumia watoto hao wanne muda mfupi baada ya kupatikana, Wanajeshi wa Colombia wanahudumia watoto hao wanne muda mfupi baada ya...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa mafunzo ya udhibiti wa sumukuvu kwenye mahindi, karanga na bidhaa zake katika wilaya za Kiteto, Kongwa,...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michezo ya Dunia kwa watu wenye ulemavu wa akili wameondoka kuelekea Ujerumani kushiriki michezo hiyo itakayoanza Juni 17 hadi...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023KAMPUNI ya simu za mkononi Infinix mwanzoni mwa Mwezihuu ilizindua toleo la Infinix NOTE 30 Series nakusindikizwa na promosheni kubwa ya #Gusanishaijaekuvunja Record...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023ASKOFU mkuu wa Kanisa la Karmali Assembles of God Tanzania,( KAGT) na Mwenyekiti wa Tume ya Maridhiano mkoa wa Dodoma ,Dk. Evance Chande...
By Danson KaijageJune 11, 2023MKUU wa wilaya Ileje mkoani Songwe, Farida Mgomi amelipongeza Shirika la Madini Taifa (STAMICO) kupitia mgodi wa Kiwira-Kabulo kwa kusaidia wananchi wanaozunguka mgodi...
By Mwandishi WetuJune 11, 2023SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa mafanikio yaliyotukuka katika kipindi cha miaka 25 ya kuhudumia Watanzania. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 11, 2023BARAZA la madiwani katika halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe, wameazimia kutoa adhabu ya kuwafuta kazi watumishi saba huku kati yao...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023MBUNGE wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amuombe radhi Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesisitiza kwamba uwekezaji wa kampuni ya DP World kutoka Dubai hautahusisha bandari zote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Gabriel MushiJune 10, 2023WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa leo Jumamosi amewasilisha bungeni maelezo ya awali kuhusu mapendekezo ya kuridhia mkataba baina ya Serikali...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC ) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wamezindua mpango rasmi wa ufadhili wa masomo...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023KARIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Balozi Mhandisi Aisha Amour amezungumzia umuhimu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini,...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023HATIMAYE Serikali ya Tanzania, imeamua kujiandikia historia yake nyingine ya kuingiza nchi katika mikataba tata ya kinyonyaji, kufuatia hatua ya Bunge lake,...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023MDHAMINI Mkuu wa ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara(NBC) leo Ijumaa aimekabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023BONANZA la Kudumisha Mashirikiano baina ya Benki ya NMB na Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), linafanyika Jumamosi hii tarehe 10 Juni, 2023 kwenye...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023CHAMA cha wanasheria Tanzania (TLS), kimejitosa katika sakata la umilikishwaji wa bandari baada ya serikali kuanzisha makubaliano ya awali na kampuni ya...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML), imetoa msaada wa vitanda vinne vya akina mama kujifungulia katika vituo vya afya vya Nyankumbu na...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023KUTOHUDHURIA kwa China katika mkutano wa kurekebisha deni la Sri Lanka huko Washington kilichoitishwa mwezi Aprili mwaka kumetoa taswira ya Beijing kuendelea...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023SAKATA la mkataba wa uendeshaji, uendelezaji na uboreshaji wa bandari nchini Tanzania kati ya Mamlaka ya Bandari (TPA) na kampuni ya DP...
By Mwandishi WetuJune 8, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na UAE katika ushirikiano...
By Gabriel MushiJune 8, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema Serikali ya Tanzania bado haijasaini mikataba ya utekelezaji wa mkataba...
By Mwandishi WetuJune 8, 2023HEDHI ni sehemu ya maisha ya kawaida na yenye afya, lakini kwa watu wengi wanaopata hedhi, ni chanzo cha aibu, hofu na ubaguzi....
By Mwandishi WetuJune 8, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema hakuna ukweli wowote juu ya muda wa miaka 100 wa uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023MDHAMINI Mkuu wa Ligi ya NBC , Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo Jumatano imezindua kombe jipya la ligi kuu ya soka...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023KATIKA kuhakikisha wimbi la ajali za barabarani zinapungua kama sio kumalizika kabisa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kwa kushirikiana na Chuo cha...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023ALIYEKUWA mbunge wa Kinondoni, kupitia vyama vya The Civil United Front – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kati ya...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amewafuta kazi Meja Jenerali Aloys Muganga, Brigedia Jenerali Francis Mutiganda, pamoja na maafisa wengine 14 wa Jeshi...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023UONGO 1: Serikali imekodisha Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World kwa miaka 100* Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) ambayo ni moja ya migodi maarufu ya AngloGold Ashanti nchini Tanzania, imeadhimisha Siku ya Mazingira Duniani...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023WANAFUNZI na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph cha jijini Dar es Salaam, wamebuni Satellite ambayo hadi kukamilika kwake itagharimu Dola za...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imewatoa hofu Watanzania kuhusu uhaba wa fedha za kigeni hususani Dola za Marekani na kubainisha kuwa mbali na...
By Gabriel MushiJune 6, 2023“HAKUNA namna ambayo serikali yaweza kukimbia maamuzi ya Mahakama kwa kutekeleza kile ambacho kimeamriwa kisimame; na au kinyume cha sheria. Pale ambapo...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023WAZIRI wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Dk. Damas Ndumbaro, amekana madai kuwa serikali yake, alisema, baadhi ya wananchi wa kabila la Wamasai,...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023SERIKALI ya Tanzania inatarajia kuingia makubaliano na kampuni ya Dubai ya DP World ya kuweka uwekezaji binafsi kwenye bandari ya Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023SERIKALI mjini Kyiv nchini, Ukraine imeushutumu utawala wa Rais Vladimir Putin wa Urusi, kwa kulipua bwawa lake kubwa katika kituo cha kuzalisha umeme...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amefanye uteuzi wa wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi nchini mwake, katika mojawapo ya mabadiliko makubwa kabisa ya...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imewazawadia mawakala wa usajili wa (Freelancer) ya jiko la gezi na mtungi wake ikiwa ni sehemu ya kampeni yake...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ameitaka klabu ya Yanga kumaliza tofauti zake na mchezaji wake wa...
By Mwandishi WetuJune 5, 2023KAMPUNI ya simu za mkononi ya Infinix Tanzania mwisho mwa wiki iliyopita imezindua series ya Infinix NOTE 30 ambazo zimekuja maalum kwa...
By Mwandishi WetuJune 5, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza klabu ya soka ya Yanga, kwa hatua waliyofikia katika michuano ya...
By Mwandishi WetuJune 4, 2023