Rex Tellerson, Waziri wa Mambo ya Kigeni Nchini Marekani amejibu juu ya jaribio la pili la kombora la masafa marefu lililofanywa na Korea Kaskazini,...
By Masalu ErastoAugust 2, 2017MAHAKAMA Kuu ya Tanzania inatarajia kutoa uamuzi kuhusiana na mapingamizi yaliyotolewa na upande wa serikali katika kesi iliyofunguliwa na wabunge nane wa Chama...
By Masalu ErastoAugust 2, 2017BONIPHACE Jacob, Mstahiki Meya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaama amemtaka Rais John Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuwakemea...
By Masalu ErastoAugust 2, 2017MGOMO wa wafanyakazi zaidi ya 290 wa Kampuni ya Kimataifa ya Geo Engineering ya China inayotekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara ya...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017WACHIMBAJI wadogo wa madini wametakiwa kuzingatia taratibu za kitalaam wakati wa uchimbaji ili kuepuka ajali maeneo hayo, anaandika Mwandishi wetu. Haya yamebainishwa na...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017KLABU ya Barcelona imemuachia nyota wake Neymar kuondoka katika timu hiyo na kujiunga na Paris St. German (PSG) kwa kitita cha pauni 198...
By Hamisi MgutaAugust 2, 2017MADEREVA wa Bodaboda katika jiji la Dar es Salaam wameonekana kuanza kuelewa umuhimu wa matumizi wa kofia ngumu wakati wa kuendesha usafiri huo,...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2017SERIKALI imeombwa kuwatambua wafugaji wa Ngamia na kusaidia kuwapunguzia gharama za kuwafuga kwa kuwa wana faida zaidi kuliko wanyama wengine, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageAugust 2, 2017WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amewahimiza viongozi kuanzia ngazi ya mkoa, wilaya hadi vijiji kuhakikisha wanasimamia uwepo wa bei nzuri...
By Christina HauleAugust 2, 2017WITO wa amani umeendelea kutolewa kwa wananchi nchini Kenya kuelekea uchaguzi mkuu, ili kuepusha machafuko yaliyozuka katika uchaguzi wa mwaka 2007, anaandika Catherine...
By Masalu ErastoAugust 2, 2017MAUAJI ya Kaimu Mkurugenzi wa Masuala Teknolojia wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya (IEBC), yameziibua nchi za Marekani na Uingereza na...
By Masalu ErastoAugust 1, 2017HATIMAYE hoja zilizotolewa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zimemuibua msemaji wa serikali wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hassan Abbas, anaandika...
By Masalu ErastoAugust 1, 2017HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefichua siri nzito kwamba kina program maalum kwa ajili ya kupambana na kandamizaji wa demokrasia unaofanywa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017WAJUMBE wa kamati ya kuratibu rasilimali ya madini kwa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu wamepongeza Rais Dk John Magufuli kwa jitihada anazofanya...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017MCHAKATO wa kumpata Naibu Meya wa Manispaa ya Dodoma ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeanza huku wagombea waliojitokeza katika kinyang’anyiro hicho wakionywa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017HALMASHAURI ya jiji la Arusha imekusanya asilimia 60 ya mapato yatokanayo na miradi ya ndani ya maendeleo kwa kipindi cha bajeti ya mwaka...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017KAYA zipatazo 700 za Kitongoji cha Irmorijo katika Kijiji cha Emairete wilayani Monduli zilizokuwa zinatumia maji ya bwawa zinatarajia kunufaika na mradi wa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini Christina Mndeme amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Mhande huku akiwaonya watakaoharibu miundombinu ya mradi huo...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kampuni ya SBC Tanzania Ltd kinachotengeneza vinywaji baridi pamoja na kiwanda cha kukata na kung’arisha mawe...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017MWENYEKITI wa CCM wa Mkoa wa Katavi anayemaliza muda wake mwaka huu, Mselemu Abdallah ameandika barua ya kujiondoa dakika za mwisho madai kuwa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2017MBUNGE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tundu Lissu, ametangazwa katika kongamano la kimataifa lililofanyika jijini Lagos, nchini Nigeria, kuwa ndiye mwanasiasa kiongozi...
By Jabir IdrissaAugust 1, 2017