IJUMAA ya tarehe 12 Julai 2019, imebaki katika kumbukumbu hasi kwa wakazi wa Kijiji cha Kufr Qaddoum kilichopo Kaskazini mwa Mji wa West Bank. Inaripotiwa...
By Mwandishi MaalumJuly 16, 2019NAWASHUKURU sana wote walioguswa na mkasa ulionisibu katika saa ya kujaribiwa kwangu mnamo majira ya 8:30 mchana Jumatatu, tarehe 27 Mei 2019. Anaandika Lazaro...
By Mwandishi MaalumMay 30, 2019NI matarajio yangu kuwa siku historia ya vyombo vya habari katika Tanzania katika robo karne itakayopita itakapoandikwa, basiwaandishi wa historia hiyo watampa nafasi...
By Mwandishi MaalumMay 26, 2019WATU ambao hawajatambulika, wamepora vito vya thamani wakati wa shughuli ya maziko ya mfanyabiashara na aliyekuwa mkurugenzi wa kampuni zilizo chini ya IPP...
By Mwandishi MaalumMay 12, 2019NIMESOMA yanayomhusu Joshua Samwel Nassari, mbunge wa Arumeru Mashariki, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu kuvuliwa ubunge wake. Nimeona hapa kuna...
By Mwandishi MaalumMarch 15, 2019HALI ya taharuki, wasiwasi na hofu imetanda kwa saa kadhaa katika mji wa Christchurch nchini New Zealand baada ya watu kadhaa kufanya shambulizi...
By Mwandishi MaalumMarch 15, 2019MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, anaumizwa na tabia ya wana Yanga kushindwa kuisaidia klabu yao, na sasa ataondoka. Anaripoti Mwandishi Maalum...
By Mwandishi MaalumFebruary 22, 2019MIGOGORO, kutoelewana na tuhuma za ushirikina kwa wafanyakazi wa serikali zimekuwa zikisababisha kupungua kwa ufanisi katika utendaji kazi ofisini. Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea)....
By Mwandishi MaalumFebruary 21, 2019SERIKALI imetupia mzigo vyama vya ushirika kwa kutofanya kazi yao ipasavyo ya kuwasajili na kuwatambua wakulima wa korosho. Anaripoti Mwandishi Maalum…(endelea) Japhet Hasunga,...
By Mwandishi MaalumFebruary 20, 2019WAKUBWA zangu salaam. Mimi ni Mbunge na kwa hiyo ninaweza kusemwa nina maslahi katika mjadala huu. Ninayo kweli. Anaandika Tundu Lissu, Ubelgiji …...
By Mwandishi MaalumNovember 23, 2018KWA mara nyingine tena Rais Magufuli ametoa kauli yenye ukakasi mkubwa kwa Uhuru wa Mahakama. Anaandika Tundu Lissu, Ubelgiji … (endelea). Iko hivi:...
By Mwandishi MaalumNovember 12, 2018HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Iringa imetoa hukumu yake katika kesi iliyokuwa inamkabili kiongozi wa Programu ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP),...
By Mwandishi MaalumNovember 6, 2018MFANYABIASHARA maarufu Mohammed Dewji ‘Mo’ ameombwa kwenda mkoani Singida ili apozwe machungu. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Akizungumza na wanahabari kwenye viwanja vya...
By Mwandishi MaalumOctober 21, 2018UBINAFSISHAJI ni sera ya Benki ya dunia, ulioanza kutekelezwa toka awamu ya pili ya utawala wetu ikiwa ni kipindi cha mpito cha kuondokana...
By Mwandishi MaalumOctober 21, 2018WAKATI wa Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alianza kwa makeke yaliyomsisimua kila Mtanzania.Anaandika Mhode Mkasimongwa … (endelea). Moja ya makeke hayo...
By Mwandishi MaalumOctober 10, 2018KATIKA siku za hivi karibuni, mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Gobless Lema, alijizolea umaarufu wa kutabiria wabunge wenzake, kuondoka chama hicho na kujiunga...
By Mwandishi MaalumOctober 8, 2018UKIWAKUTA walevi wanasifiana unaweza ukashangaa ni jinsi gani wamehitimu katika sanaa ya kupeana ujiko. Ni kama mashindano ya nani anaweza kutoa sifa zaidi...
By Mwandishi MaalumOctober 2, 2018TUKIO la dereva wa basi la daladala maarufu Hiace, Andrew Kiwia, limeibua maswali yasiyo na majibu hasa baada ya kauli ya kamanda wa...
By Mwandishi MaalumSeptember 29, 2018NDUGU wa marehemu Andrew Kiwia, aliyekuwa dereva wa Hiace wamesusa kuchukua mwili wa ndugu yao. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Ndugu hao wameeleza...
By Mwandishi MaalumSeptember 27, 2018WAPENDWA tuanze maandiko ya leo kama tulivyoanza maandiko ya mara ya mwisho. Tulikumbushana kuwa sisi wote tumekutana katika nchi hii pasipo wenyewe kuridhia!...
By Mwandishi MaalumSeptember 24, 2018IDADI ya watu waliofariki dunia katika ajali ya kivuko cha MV. Nyerere katika Ziwa Victoria jana. Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea). Mpaka kufika...
By Mwandishi MaalumSeptember 21, 2018SITAKI kumtetea Patrick Aussems na wala sitaki kusimama upande wa Masoud Djuma lakini najisikia kusema jambo dogo tu baada ya dakika 90 pale...
By Mwandishi MaalumSeptember 21, 2018WAPENDWA sisi wote tumekutana katika nchi hii pasipo wenyewe kuridhia! Anaandika Mwalim Mkuu wa Walimu…(endelea). Hakuna kati yetu aliyeomba azaliwe katika nchi hii...
By Mwandishi MaalumSeptember 17, 2018SUSAN Lyimo, Mbunge wa Viti Maalum Chadema ametaka kutengenezwa mazingira ili wanaotaka kufanya ngono haraka, wawe na amani. Anaandika Mwandishi Maalum…(endelea). Lyimo ameitaka...
By Mwandishi MaalumSeptember 6, 2018GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ameshushiwa kipigo kutoka kwa walinzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Maalum Arusha … (endelea). Tayari...
By Mwandishi MaalumAugust 12, 2018MWANASHERIA wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi aache vitisho vya...
By Mwandishi MaalumFebruary 23, 2018KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanampa sifa nyengine, nayo ni ya ujasiri. Anaandika Othman Masoud Othman … (endelea). Anapotafuta anachokitaka, hachelei...
By Mwandishi MaalumFebruary 23, 2018WATU waliovalia mavazi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamevamia kijiji cha Kisemvule, wilayani Mkuranga, mkoani Pwani na kuwashambulia wananchi...
By Mwandishi MaalumDecember 1, 2017NIMEINGIA Wizara ya Maliasili na Utalii kwa uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, Mnamo Februari 10, 2014, na nimefanya kazi ya Uwaziri kwa takribani...
By Mwandishi MaalumNovember 14, 2017IKULU ya Tanzania, kupitia ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, imewaandikia wafanyakazi wa iliyokuwa kampuni ya uchapishaji ya Printpak (T) Limited kuwaeleza kwamba suala...
By Mwandishi MaalumOctober 23, 2017Na Mwandishi Maalum RAIS John Pombe Magufuli, ametangaza mabadiliko katika baraza lake la mawaziri kwa kuondoa baadhi, wengine kuwahamisha na wapya kuingizwa. Miongoni...
By Mwandishi MaalumOctober 11, 2017BAADA ya tukio la kijinga, la kitoto, lisilo na mantiki wala lisilojenga heshima yoyote kwa washambuliaji; la kushambuliwa kwa risasi Rais wa Chama...
By Mwandishi MaalumOctober 9, 2017