Friday , 26 April 2024

Month: March 2019

Habari Mchanganyiko

Mwalimu aliyemchapa mwanafunzi mpaka kufa ahukumiwa kunyongwa

MWALIMU Respicius Mtazangira amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba adhabu ya kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha kifo...

Habari za SiasaTangulizi

Mgeja amfuata Lowassa CCM

HAMISI Mgeja, swahiba wa Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, leo tarehe 6 Machi 2019 ametangaza kurejea  katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Kelvin Mwaipungu...

Habari Mchanganyiko

Rais wa madaktari; Mishahara haitukidhi

RAISI wa Madktari nchini Dk.Elisha Osati, ameiomba serikali kuongeza mishahara kwa watumishi wanaotoa huduma kwenye sekta ya afya nchini ili kumudu mahitaji ya...

Michezo

Serengeti Boys kujiuliza kwa Australia

BAADA ya kupoteza kwa bao 1-0 mbele ya Guinea kwenye mchezo wa kwanza wa kundi A, timu ya taifa ya vijana Serengeti Boys...

Michezo

IFAB yafanya mabadiliko ya kanuni kwenye Soka

BODI ya Kimataifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (IFAB) imefanya mabadiliko ya kanuni ya mchezo wa soka kwenye kikao kilichofanyika wiki iliyopita...

Habari za Siasa

Mbowe kusaka dhamana kesho Mahakama Kuu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuendelea na usikilizwaji  wa rufaa ya Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Tundu Lissu amvaa Prof. Kabudi 

MBUNGE wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu, “amempasha,” Prof. Palamagamba Kabudi. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Lissu...

Michezo

Serengeti Boys kushuka dimbani leo, Uturuki

TIMU ya taifa ya vijana umri chini ya miaka 17 Serengeti boys wanatarajia kucheza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Guinea katika michuano...

Habari za Siasa

Sakata la Mo; Magufuli aibua maswali magumu, Mambosasa njia panda

SAKATA la kutekwa mfanyabiashara bilionea nchini, Mohammed Dewj limeibuka tena Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya Rais John Magufuli kuibua maswali upya. Anaripoti...

Habari za Siasa

Ujumbe wa Lissu kutoka Ikulu

SHUGHULI ya kuwaapisha Profesa Palamagamba Kabudi na Dk. Augustine Mahiga Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 4 Machi 2019, imebeba ujumbe kwa Tundu Lissu, Mbunge...

Habari Mchanganyiko

Radi zatawala maziko ya Ruge

TARATIBU za kukamilisha shughuli ya mazishi ya Ruge Mutahaba, mwanahabari aliyekuwa mtayarishaji wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG) yametawaliwa na mvua pia radi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa kuanika kilichomkimbiza Chadema

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa, yuko mbioni kueleza ulimwengu, kilichomsukuma kuondoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kurejea Chama...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mvua yaleta kizazaa Dar

MVUA kubwa imenyesha jiji Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumapili na bado inaendelea “kupiga” katika maeneo kadhaa jijini hapa. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli, Kikwete waongoza salamu za mwisho kwa Ruge

RAIS John Magufuli leo tarehe 2 Machi 2019 ameongoza mamia ya watu ikiwemo baadhi ya viongozi wa kiserikali, kuuaga mwili wa Ruge Mutahaba....

Habari Mchanganyiko

Makonda asema msiba wa Ruge umempa wakati mgumu

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameelezea namna alivyoupokea msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media...

Habari Mchanganyiko

Familia yaelezea ushujaa halisi wa Ruge  

WASIFU uliosomwa na Mwachi Mutahaba ambaye ni mtoto wa kwanza wa Ruge Mutahabu, mwanahabari aliyekuwa mtayarishaji wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG), umeibua taswira...

Habari Mchanganyiko

Mauaji ya watoto; IGP Sirro anasa waganga wa kienyeji 65

JESHI la Polisi limekamata maganga 65 katika Mkoa wa Simiyu na Njombe kwa tuhuma za kuhusika na mauwaji ya watoto yaliyotokea Januari 2019. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Mashinji: Lowassa anajua anachokifanya, Prof. Lipumba acheeeka

HATUA ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa kutangaza kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana tarehe  Mosi Machi 2019, kumeibua mjadala mpana uliobeba...

Habari za SiasaTangulizi

Kilichomng’oa Lowassa Chadema hiki hapa

WAZIRI mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa, ametangaza kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Lowassa aliondoka CCM katikati ya mwaka 2015, kufuatia chama hicho...

Habari Mchanganyiko

Mamia wajitokeza kuupokea mwili wa Ruge

MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba umewasili jioni ya leo terehe 1 Machi 2018 katika...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa aitosa Chadema, arudi CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu wa serikali ya awamu ya nne, Edward Lowassa amerejea CCM akitokea Chadema. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Lowassa amerejea CCM...

Habari za Siasa

Jiji la Dodoma latenga bajeti ya Bil 180

HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imepitisha bajeti ya Sh. 180 bilioni kwa lengo la utekelezaji wa shughuli za Halmashauri kwa Mwaka ujao wa...

Habari za SiasaTangulizi

BREAKING NEWS: Mbowe aibwaga Serikali Mahakama ya Rufaa

MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, imetupilia mbali maombi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kupinga Mahakama Kuu, kusikiliza maombi ya kurejeshewa dhamana kwa wabunge...

Habari za SiasaTangulizi

Kifo kilivyokatisha mpango wa Rais Kikwete kwa Ruge

NIA na dhamira ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa mlezi wa Ruge Mutahabu, mwanahabari aliyekuwa mtayarishaji wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG) yamekatizwa. Anaripoti Mwandishi...

Elimu

Serikali yatangaza ajira za walimu 4,500

SERIKALI imetangaza kuajiri walimu 4,549 wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2018/19 ili kupunguza uhaba wa walimu ulipo nchini....

error: Content is protected !!