Saturday , 27 April 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Michezo

Gethsemane Group Kinondoni (GGK) waachia video ya Bwana Wastahili

WAIMBAJI maarufu nchini kutoka Gethsemane Group Kinondoni (GGK)SDA wameachia video ya wimbo wao mpya unaoitwa Bwana Wastahili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Video...

BiasharaHabari za Siasa

Zanzibar mbioni kuanza uchimbaji mafuta na gesi baharini

SERIKALI ya Zanzibar, imekamilisha mchakato wa uchimbaji wa mafuta na gesi asilia baharini ambapo imeanza kutangaza utoaji wa leseni za uchimbaji na vitalu...

Biashara

Cheza ushinde kirahisi kwenye Meridianbet kasino, Joker Ice Frenzy

  JOKER Ice Frenzy Epic Strike ni sloti iliyopo kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina nguzo tano zilizopangwa kwenye mistari mitatu yenye...

Habari MchanganyikoKimataifa

Shule zafungwa kutokana na ongezeko la joto

SUDAN Kusini imeamuru kufungwa kwa shule zote kuanzia leo Jumatatu, ikiwa ni hatua ya tahadhari kutokana na joto kali linalotarajiwa kudumu kwa wiki...

BiasharaMichezo

Gamondi kocha bora mwezi Februari, NBC yamjaza manoti

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana Jumapili...

Afya

Wananchi 530,000 kufaidika na ujenzi wa hospitali ya bil. 1.8

  SERIKALI imetoa Sh 1.8 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa Hospital ya wilaya ya Moshi inayojengwa katika Kata ya Mabogini ukanda wa...

Kimataifa

Tanzania, Italia kuimarisha ushirikiano sekta za kimkakati

  SERIKALI ya Tanzania na Italia zimeahidi kuimarisha ushirikiano katika sekta za kimkakati ambazo ni kilimo, nishati, elimu pamoja na uchumi wa buluu...

Biashara

Benki ya Exim yaandaa Iftar kwa wadau wake

  BENKI ya Exim imeandaa futari ya pamoja kwa wateja wake katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam mnamo...

Biashara

Kamilisha ushindi kwa kucheza Super Heli kasino ya mtandaoni

  SUPER Heli moja ya mchezo bora na pendwa kabisa kwa wachezaji wote wa Meridianbet kasino ya mtandaoni, moja ya miujiza ya mchezo...

AfyaBiashara

Meridianbet yatoa msaada zahanati ya Mwenge

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet wamefanikiwa kufika eneo la Mwenge na kutoamsaadfa katika Zahanati inayopatika katika eneo hilo Mlalakuwa. Kama ilivyo kawaida...

AfyaTangulizi

Serikali yafafanua kuondolewa dawa 178 kitita cha NHIF

SERIKALI imesema imeondoa dawa 178 katika kitita cha Mfuko wa Taifa wa Bima (NHIF), ili kupisha dawa bora zaidi zinazoendana na wakati wa...

Habari za SiasaKimataifa

Odinga avuka kihunzi cha kwanza uenyekiti AUC

AZMA ya kiongozi wa Azimio La Umoja-One Kenya, Raila Odinga kuwania wadhifa wa Mwenyekiti wa Baraza la Umoja wa Afrika (AUC) imepata nguvu...

Biashara

NBC yafuturisha wateja, yapongezwa kwa ushirikiano

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeandaa hafla ya futari mahususi kwa wateja wake wa Kiislamu Visiwani Zanzibar ikiwa ni muendelezo wa jitihada...

Biashara

Machi ya mizawadi kutoka Meridianbet kasino 

  Haujawahi kuwa mwezi wa kinyonge hata kidogo inapofika mwezi Machi. Ni promosheni na bonasi za kasino deilee. Na hatimaye unapocheza michezo ya...

Kimataifa

‘Wachawi’ 50 wafariki baada ya kumeza dawa mitishamba

Watu zaidi ya 50 wanaoshutumiwa kwa ‘uchawi’ wamefariki dunia nchini Angola baada ya kulazimishwa kunywa mchanganyiko wa mitishamba ili kubaini kama wanafanya vitendo...

Kimataifa

Urusi yafanya uchaguzi wa urais

Raia nchini Urusi kuanzia leo Ijumaa wanapiga kura katika uchaguzi wa urais utakaofanyika kwa siku tatu na unaotarajiwa kumuongezea muda zaidi, Rais Vladimir...

Kimataifa

Mpinzani mkuu Senegal aachiwa huru

KIONGOZI mkuu wa upinzani nchini Senegal, Ousmane Sonko, aliachiliwa kutoka jela jana Alhamisi jioni ikiwa ni siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa...

Michezo

Tusua kijanja na mechi za Europa leo

  Alhamisi ya leo EUROPA inaendelea ambapo ni mechi za marudiano ambapo hizi zitakuw azikiamua nani kwenda hatua inayofuata na nani kubaki. Liverpool,...

Biashara

Drop &Win promosheni inayotoa Tsh Bil 80 mpaka 2025 

  PROMOSHENI ya Pragmatic Play ya Drop&Win sasa imeanza tangu Machi 6, 2024 na itadumu mpaka 2025 Promosheni hii ni maalum kwa wateja...

ElimuHabari Mchanganyiko

Wanawake GGML wawanoa wanafunzi Kalangalala Sec. kujitambua

KATIKA kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, Umoja wa wanawake wanaofanya kazi katika Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML Ladies) wametoa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yaimarisha mfumo utoaji mikopo kwa wanafunzi vyuo vikuu

Benki ya NMB imekamilisha zoezi la kuunganisha mfumo wake mkuu wa kibenki na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)...

Michezo

Hapa Diego Simeone, pale Simeone Inzaghi kivumbi cha Ligi ya Mabingwa Ulaya

LIGI ya Mabingwa ulaya itaendelea usiku wa leo ambapoitakwenda kupigwa michezo miwili ya kibabe sana, Ambapoitaamua hatma ya timu hizo nne kuelekea hatua...

Biashara

Oryx Gesi yagawa mitungi 700 Zanzibar

KAMPUNI Gesi ya Oryx Tanzania imeendeleza kasi yake ya kuwafikishia wananchi nishati safi ya kupikia ili kuwaondoa katika changamoto ya kupika kwa kuni...

Biashara

Maokoto ya kutosha na Super Heli kasino 

  HAPO mwanzo baada ya kuutambulisha mchezo wa Super Heli ambao namba moja pendwa kwa michezo ya kasino ya mtandaoni, wengi walikuwa wanauchukulia...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea leo

  LIGI ya Mabingwa Ulaya itaendelea leo ambapo itakwenda kupigwa michezo miwili milkali ambayo itakwenda kutoa fursa ya timu mbili kutinga hatua ya...

Biashara

Expanse Kasino Jackpot mzigo umeongezeka mpaka milioni 30

  HII sio ndoto hata kidogo ni uhalisia uliopo katika nyumba ya mabingwa Meridianbet, kuna Jackpot endelevu ya michezo ya kasino ya mtandaoni...

Habari MchanganyikoKimataifa

Urusi yamdaka raia wa Korea Kusini kwa ushushushu

Raia mmoja wa Korea Kusini amekamatwa nchini Urusi kwa madai ya ujasusi na kuzuiliwa katika mji wa mbali wa mashariki mwa nchi wa...

AfyaHabari Mchanganyiko

Matende, mabusha tishio Kinondoni, wananchi waitwa kupata kinga tiba

MAGONJWA yasiyopewa kipaumbele ya Mabusha na Matende, bado yanaendelea kusumbua kata 10 za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, kutokana...

Kimataifa

Rais Kagame akubali kukutana na Tshisekedi

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Angola, Tete Antonio amesema jana Jumatatu jioni Rais Paul Kagame wa Rwanda amekubali kukutana na...

Biashara

Mikoa 30 yapata mikopo ya bil.324 kutoka SELF

MFUKO wa Self umetoa mikopo ya zaidi ya Sh bilioni 324 kwa wananchi 314,055 wa mikoa 30 nchini huku ukijipanga kupanua wigo siku...

Biashara

Vodacom yashiriki mkutano wa 21 wa Taasisi za kifedha ulioandaliwa na BOT

Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya...

Biashara

Msisimko na Super Heli kasino, mizawadi kama yote

  ULE mzuka wa kucheza kasino na kushinda unaupata Meridianbet kasino pekee ambapo kuna michezo mingi ya kasino ya Mtandaoni, moja kati ya...

Biashara

NMB, ZASCO zasaini makubaliano kuongeza thamani zao la kimkakati Z’bar

BENKI ya NMB na Kampuni ya Mwani Zanzibar (ZASCO), zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU), ya ushirikiano, lengo kuu likiwa ni kuliongezea thamani zao...

Habari za SiasaKimataifa

Kiongozi mkuu upinzani Burundi ang’olewa kwenye chama

Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi kimekumbwa na mgawanyiko baada ya jana Jumapili kusema kuwa limemuondoa madarakani kiongozi wa chama hicho Agathon Rwasa...

Habari MchanganyikoKimataifa

Mpango wa kuajiri mwanamke kushika mimba wafufuliwa

SERIKALI ya Thailand imepanga kufufua mpango wa wa biashara ya mwanamke kukubali kushika mimba na kujifungua mtoto kwa niaba ya familia fulani maarufu...

Michezo

Jumapili ya kukupatia pesa ni leo

Baada ya jana kushuhudia mitanange mikali kabosa Duniani kote, leo tena kuna mechi kali zaidi za kukupatia pesa ligi mbalimbali, yani ni bandika...

Biashara

Cheza kasino ya Age of the Gods Spin a Win ushinde

  MOJA ya habari njema kuwahi kutokea ni uwepo wa historia ya kale kuhusiana na miungu, na maisha ya zamani, hadithi hizi zinafurahisha...

Biashara

Meridianbet yawainua kina mama Siku ya Wanawake Duniani

Kampuni ya Meridianbet imefanikiwa kujumuika nawanawake katika siku yao baada ya kufika katika soka la Mwananyamala jijini Dar-es-salaam na kutoa msaada kwakina Mama...

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya kupiga pesa na Meridianbet

  HATIMAYE wikendi imefika tena ambapo kwa wale ambao hubashiri hii ni siku nzuri sana kwao kwani mechi mbalimbali kutoka katika ligi mbalimbali...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Kampuni iliyoshindwa kuingiza mafuta Tanzania, yaamriwa kulipa Bil.24.7

SERIKALI ya Tanzania, imeibwaga Kampuni ya Alchemist Energy Trading DMCC, katika Baraza la Kimataifa la Biashara (ICC), baada ya kampuni hiyo ya kiarabu...

Michezo

Bashiri mechi za Ligi Kuu ya NBC wikiendi hii upate bonasi kibao 

  WAKATI ambao sakata la Prince Mpumelelo Dube likipamba moto pale viunga vya Azam Complex, pale Msimbazi mambo sio mambo, Jangwani wao wanakula...

Michezo

Kusanya mpunga wa Meridianbet leo

  IJUMAA ya leo hii ligi mbalimbali zinaendelea hivyo kama mteja wa meridianbet tengeneza jamvi lako sasa na uanze kubashiri vyema kabisa na...

Kimataifa

Wanafunzi 280 watekwa nyara Nigeria

Watu waliojihami kwa bunduki wamewateka nyara zaidi ya wanafunzi 280 baada ya kuivamia shule moja kaskazini magharibi mwa Nigeria katika mojawapo ya visa...

Biashara

Nguruwe na mbwa mwitu ndani ya kasino ya mtandaoni 

  KUTANA na nguruwe watatu pamoja na mbwa mwitu ambao asili yao ni kutoa pesa kwa kila mzunguko wa kasino unaoucheza, hakikisha unafatilia...

Biashara

GGML yataja siri kuongeza idadi ya wanawake kwenye madini

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesema mojawapo ya siri iliyouwezesha mgodi huo kuongoza nchini kwa kuongeza idadi kubwa ya wanawake walioajiriwa...

ElimuHabari Mchanganyiko

RC Songwe ang’aka kesi 2 kati ya 60 za mafataki kuamuliwa

Mkuu wa mkoa wa Songwe Dk. Fransis Michael ameshangazwa na mienendo ya kesi zinazowahusu watu wanaodaiwa kuwapa ujauzito wanafunzi na kukatisha masomo yao,...

Michezo

Leo ni zamu yako kupiga pesa na mechi za Europa

  Michuano ya EUROPA Barani Ulaya hatua ya 16 bora inaendelea hii leo ambapo mechi hizo zipo kwaajili ya kukupatia mkwanja wa maana...

Biashara

Mchezo wa Planet 67 kasino ni balaa usipime, cheza sasa ushinde

Anza safari kuelekea sayari ya mbali Zaidi nje ya ulimwenguhuu kushuhudia maajabu ya nje ya dunia, safari hii itakupelekampaka sayari ya kujifikirika ya...

Biashara

Bingwa lapigwa milioni 10 na Meridianbet

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet wamefanikiwa kupata mshindi wa kiasi cha shilingi 10,000,000 baada ya kucheza Jackpot yaMeridianbet. Mshindi huyo wa...

Biashara

Mchezo wa Super Heli Kasino unazidi kupendwa tu  

  Haya Haya ni takribani wiki imeisha tangu kutambulishwa kwa mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni pale Meridianbet, unaitwa Super Heli kwa ripoti...

error: Content is protected !!