Tuesday , 7 May 2024
Home Kitengo Biashara Bingwa lapigwa milioni 10 na Meridianbet
Biashara

Bingwa lapigwa milioni 10 na Meridianbet

Spread the love

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet wamefanikiwa kupata mshindi wa kiasi cha shilingi 10,000,000 baada ya kucheza Jackpot yaMeridianbet.

Mshindi huyo wa Jackpot ya Meridianbet anayefahamika kamaElia Erick kutoka mkoani Morogoro alifanikiwa kushindakupatia michezo 12 kati ya 13 ambayo ilimuwezesha mkazihuyo wa Morogoro kuibuka na kitita.

Mabingwa hao wa kubashiri wamekua wakitoa washindi marakwa mara kwani hivi karibuni tayari wameshapatikna washindiwawili mmoja akishinda milioni tano, Kabla ya bwana EliaErick kushinda kitita cha milioni kumi.

Bwana Elia baada ushindi ameeleza kua amekua akicheza naMeridianbet kuanzia mwaka jana mwezi Novemba na ndotoyake ilikua ni kushinda mkwanja mrefu kupitia mabingwa haowa michezo ya kubashiri.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leokwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapohuku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa?Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Mshindi huyo kutoka mkoai Morogoro ameeleza kwa mara yakwanza alivutiwa na kubashiri na Meridianbet kwa mara yakwanza baada ya kuona tangazo kwenye king’amuzi cha Startimes.

Mshindi ameeleza pia kua amekua akiwaeleza wenzake kutokatatamaa akiamini wataweza kushinda siku moja mkwanja wakutosha,Na ndicho kilichotokea kwani bwana Elia amewezakupiga milioni 10 na Meridianbet.

N.B: Mshindi huyo wa Jackpot alicheza Jackpot ya michezo 13 ambapo mchezo mmoja ulihairishwa kati ya Valencia naGranada, Huku kikwaida Meridianbet wanakua na mechimbadala ambazo zinakua mechi tano na mechi ya kwanza kabisailikua ni kati ya Fc Lorient dhidi ya Nantes na Nantes kufanikiwa kushinda mchezo huo na kumfanya mshindikufikisha michezo 12 ambapo alipoteza mchezo mmoja.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Spread the loveSerikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya...

Biashara

Cheza kwa kuanzia Sh 400 kushinda mgao wa Expanse Tournament kasino 

Spread the love  UKISIKIA bosi kacheka ujue Maokoto yanafuatia, Kupitia promosheni pendwa...

BiasharaHabari za Siasa

Bunge laitaka Serikali kudhibiti ufisadi miradi ya mkakati

Spread the loveKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuimarisha...

error: Content is protected !!