Thursday , 9 May 2024
Home Kitengo Michezo Hapa Diego Simeone, pale Simeone Inzaghi kivumbi cha Ligi ya Mabingwa Ulaya
Michezo

Hapa Diego Simeone, pale Simeone Inzaghi kivumbi cha Ligi ya Mabingwa Ulaya

Spread the love

LIGI ya Mabingwa ulaya itaendelea usiku wa leo ambapoitakwenda kupigwa michezo miwili ya kibabe sana, Ambapoitaamua hatma ya timu hizo nne kuelekea hatua ya robofainali.

Michezo hiyo ni kati ya Borussia Dortmund dhidi ya PSV Eidhoven huku mchezo utakaotupiwa macho zaidi utakua pale kwenye dimba la Wanda la Wanda Metropolitano kati yaAtletico Madrid wenyeji dhidi ya klabu ya Inter Milan kutokanchini Italia.

Klabu ya Atletico Madrid chini ya kocha Diego Simeone leowatakua nyumbani katika dimba lao Wanda Metropolitanowakiikaribisha klabu ya Inter Milan vinara wa ligi kuu nchiniItalia Serie A.

Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo ulipigwa pale katikadimba la Giussepe Meazza awiki mbili zilizopita, Huku Inter wakichomoza na ushindi wa goli moja kwa sifuru hivo leoAtletico watahitaji kupata ushindi wa kuanzia mabao mawilikwa bila ili waweze kusonga mbele.

Mchezo huu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa kwanivilabu vyote vina uwezo wa kusonga mbele katika hatuainayofuata, Lakini pia aina ya uchezaji wa vilabu hivo inafananapia hii inachangia mchezo kua mgumu zaidi baina ya vilabuhivo.

Vita nyingine kwenye mchezo huu itakua ni vita ya kimbinubaina ya makocha wawili wa vilabu hivo kocha Diego Simeonewa Atletico Madrid na Simeone Inzaghi wa Inter Milan,Makocha hao wanatumia wote watumia  mfumo wa 3-5-2 kwenye kupangilia timu zao jambo ambalo linafanya mchezohuu kua mgumu zaidi. Mchezo huu mkali upo pale kwenyetovuti ya Meridianbet na umepewa ODDS KUBWA.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leokwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapohuku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa?Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Mchezo mwingine mkali wa ligi ya mabingwa ulayautakaopigwa leo utakua kati ya Borussia Dortmund ambaowatakua nyumbani pale Signal Iduna Park dhidi ya PSV Eidhhoven, Mchezo huu pia upo wazi kwa yeyote kufuzu hatuaya robo fainali kwani mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sareya goli moja kwa moja.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoMichezo

Kengold wakabidhiwa kombe NBC Championship

Spread the loveMdhamini mkuu wa Ligi Daraja la Kwanza (NBC Championship) Benki...

Michezo

Piga pesa na mechi za UEFA

Spread the love  HATIMAYE leo hii ndio kitaeleweka nani aende Nusu Fainali...

Michezo

Idris Sultan anogesha msimu wa 3 wa Bridgerton

Spread the loveSTAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha...

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love JUMAPILI ya leo imekaa kipesa tuu yani baada ya...

error: Content is protected !!