Thursday , 9 May 2024
Home Kitengo Michezo Usiku wa Ulaya umerejea leo
Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea leo

Spread the love

 

LIGI ya Mabingwa Ulaya itaendelea leo ambapo itakwenda kupigwa michezo miwili milkali ambayo itakwenda kutoa fursa ya timu mbili kutinga hatua ya robo fainali.

Michezo miwili ya ligi ya mabingwa ulaya itapigwa leo katika madimba mawili tofauti ambayo ndio itaamua hatma ya vilabu vinne leo na kujua nani ataenda robo fainali na nani atarudi nyumbani, Michezo ya leo itakunisha vilabu vya Arsenal dhidi ya Fc Porto na Barcelona dhidi ya Napoli.

Arsenal wakiwa katika dimba la Emirates watakua na kazi moja tu kuhakikisha wanashinda mchezo huu ili kuweza kufuzu hatua ya robo fainali, Lakini wakati huohuo Fc Porto wana faida ya goli moja ambalo walilipata wiki mbili zilizopita katika dimba lao la nyumbani.

Arsenal ni wazi leo watahitahitaji kupata ushindi utakaoweza kuwapeleka mbele lakini klabu hiyo iliyo kwenye ubora mkubwa kwasasa watakua na mlima wa kupanda, Kwani Fc Porto ni klabu iliyoonekana kuzuia vizuri sana na kushambulia kwa kushtukiza. Mchezo huu utapatikana pale kwenye tovuti ya Meridianbet na umepewa ODDS KUBWA.

Mchezo mwingine mkali utapigwa pale katika dimba la Olympico Lluis kati ya klabu ya Barcelona dhidi ya Napoli ambapo Barca watakua nyumbani katika mchezo huo, Mchezo wa kwanza pale katika dimba la Diego Armando Maradona ulimalizika kwa sare ya goli moja kwa moja.

Mchezo huu utakua wazi kwa timu zote kwani yeyote atakaeshinda mchezo atakata tiketi ya kufuzu hatua ya robo fainali, Hivo mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa kwakua uko wazi na kila timu ina nafasi ya kusonga mbele.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Bila kusahau ligi kuu ya NBC pia leo itaendelea ambapo Mnyama Simba atashuka dimbani kumenyana na klabu ya Singida Fountain Gate katika dimba la Chamazi jijini Dar-es-salaam, Ambapo Simba itahitaji kupata alama tatu muhimu ili kurejea kwenye mbio za ubingwa wa ligi hiyo.Mchezo huu mkali pia utapatikana pale kwenye tovuti ya Meridianbet ukiwa umepewa ODDS BOMBA kabisa

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Unakosaje pesa ukiwa na Meridianbet leo

Spread the love Alhamisi ndio hii sasa mteja wa meridianbet ambapo leo...

Habari MchanganyikoMichezo

Kengold wakabidhiwa kombe NBC Championship

Spread the loveMdhamini mkuu wa Ligi Daraja la Kwanza (NBC Championship) Benki...

Michezo

Piga pesa na mechi za UEFA

Spread the love  HATIMAYE leo hii ndio kitaeleweka nani aende Nusu Fainali...

Michezo

Idris Sultan anogesha msimu wa 3 wa Bridgerton

Spread the loveSTAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha...

error: Content is protected !!