Wednesday , 8 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet yawainua kina mama Siku ya Wanawake Duniani
Biashara

Meridianbet yawainua kina mama Siku ya Wanawake Duniani

Spread the love

Kampuni ya Meridianbet imefanikiwa kujumuika nawanawake katika siku yao baada ya kufika katika soka la Mwananyamala jijini Dar-es-salaam na kutoa msaada kwakina Mama wa eneo hilo.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wametoa msaada wavyakula vya nyumbani kwa kina Mama wanaojishughulisha nashughuli za Ujasiriamali katika soko la Mwananyamala jamboambalo limepokewa kwa mikono miwili na kina Mama wa eneohilo.

Lengo la Meridianbet ni kuhakikisha wanawafanya kina Mama kufarijika katika siku ya wanawake duniani, Lakini piakuendeleza utamaduni wao wa kurudisha kwenye jamii yakeambayo inawazunguka.

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano kutokaMeridianbet Bi Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumzakatika tukio hilo”Binafsi ninayo furaha kubwa kuwepo hapaleo kutoa msaada huu na kiukweli nimefarijika sana kwani leoni siku yenu, hivo mnastahili kuifurahia na sisi kamaMeridianbet tumehakikisha mnaifurahia siku hii muhimukabisa kwenu”.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leokwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapohuku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa?Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Hata hivo wakina Mama wanaojishughulisha na shughuli zaujasiriamali eneo hilo la Mwananyamala sokoni wameonesha kufurahishwa sana na kitendo ambacho kimefanywa namabingwa wa michezo ya kubashiri, ambapo wamesema taasisinyingine zinapaswa kuiga mfano wa Meridianbet katikakurudisha kwenye jamii kwani sio mara ya kwanza taasisi hiyoinafika katika eneo hilo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Spread the loveSerikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya...

Biashara

Cheza kwa kuanzia Sh 400 kushinda mgao wa Expanse Tournament kasino 

Spread the love  UKISIKIA bosi kacheka ujue Maokoto yanafuatia, Kupitia promosheni pendwa...

BiasharaHabari za Siasa

Bunge laitaka Serikali kudhibiti ufisadi miradi ya mkakati

Spread the loveKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuimarisha...

error: Content is protected !!