Wednesday , 8 May 2024
Home Kitengo Biashara Mchezo wa Planet 67 kasino ni balaa usipime, cheza sasa ushinde
Biashara

Mchezo wa Planet 67 kasino ni balaa usipime, cheza sasa ushinde

Spread the love

Anza safari kuelekea sayari ya mbali Zaidi nje ya ulimwenguhuu kushuhudia maajabu ya nje ya dunia, safari hii itakupelekampaka sayari ya kujifikirika ya Planet 67 kupitia MeridianbetKasino ya Mtandaoni.

Planet 67 ni mchezo wa bingo wa kasino ya mtandaoni wenyenambari 90 ambapo wachezaji wanaweza kucheza hadi kadi 4 kwa kila duru ya mchezo. Kila kadi ina mistari 3 na seli 9. Selitano zina nambari kati ya 90 zinazowezesha ushindi.

Lazima uelewe kuwa kila kadi ni tofauti na ina jumla yanambari 15 bila kurudia. Ili kucheza mchezo huu unatakiwakujisajili Meridianbet.

Kadi zitatoa malipo kwa mstari mmoja au mbili au kadi kamili. Kabla ya kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni nakutumia zawadi zilizofichwa, kwanza lazima uweke dauunalotaka kwa kutumia vifungo vya -/+ vilivyopo kwenye ubaowa amri.

Kwenye sehemu yaSaliounaweza kuona salio lako la sasa, wakati kwenye sehemu yaKushindaunaweza kuona ushindiwako wa sasa. Pia, kuna chaguo la Turbo, ikiwa unatakakuharakisha mchezo.

Katika mchezo wa Planet 67 hutapata mistari ya malipo, badalayake utapata hadi kadi 4 za bingo ambazo zitakupa nafasi zaidiya kupata mchanganyiko wa kushinda. Lazima upatanishenambari kwenye kadi na nambari zilizotolewa ili upate malipo.

Jaribu kujaza kadi nzima ili upate kiwango kikubwa cha hadisarafu 27,000. Planet 67 ni mchezo wa ushindi wa haraka nahautoi vipengele vikubwa vya ziada.

Wachezaji wanaocheza mchezo huu wa kasino ya mtandaonilazima waelewe kuwa ushindi utatolewa tu kutoka kwa mchezowa kawaida na hakuna vipengele vya ziada kama vile kubadilisha mchezaji wa joker, ishara za kutawanya, namizunguko ya bure.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezoya kasino ya mtandaoni upate ushindikirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwakubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovutiyao meridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Spread the loveSerikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya...

Biashara

Cheza kwa kuanzia Sh 400 kushinda mgao wa Expanse Tournament kasino 

Spread the love  UKISIKIA bosi kacheka ujue Maokoto yanafuatia, Kupitia promosheni pendwa...

BiasharaHabari za Siasa

Bunge laitaka Serikali kudhibiti ufisadi miradi ya mkakati

Spread the loveKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuimarisha...

error: Content is protected !!