MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameishauri Serikali iboreshe mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji Bandari ya Dar es Salaam, ulioingiwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Songwe imekagua miradi saba ya maendeleo yenye thamani ya Sh 5.5 bilioni wilayani Songwe...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023WILAYA ya Same mkoani Kilimanjaro imepongezwa kwa kusimamia fedha na miradi ya maendeleo inayotelezwa wilayani hapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … (endelea)....
By Mwandishi WetuJune 21, 2023MAKAMU wa Rais Dk.Philip Mpango ametoa wito kwa jamii hususani watumishi wa umma kuendelea kufanya kazi kwa bidii na upendo ili kuacha alama...
By Mwandishi WetuJune 20, 2023NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi ameagiza wakurugenzi wakuu wa mifuko ya pensheni ya PSSSF...
By Mwandishi WetuJune 20, 2023RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu amefanya mabadiliko makubwa kwa vikosi vya ulinzi jana Jumatatu na kuwasimamisha kazi wakuu wa usalama na mkuu wa...
By Mwandishi WetuJune 20, 2023KATIKA kuunga mkono azma ya serikali ya kupanua na kuimarisha huduma za mawasiliano nchini kote, kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 20, 2023WALIOKUWA wagombea udiwani wa CHADEMA katika Kata za Rugongwe, Mukabuye na Nyaruyoba kwenye uchaguzi Mkuu 2020 wamejiunga ACT Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuJune 20, 2023TAIFA la China limepunguza idadi ya uchomaji maiti uliofanyika msimu wa baridi uliopita kutoka kwa ripoti ya robo mwaka. Imeripotiwa na Gazeti...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Azizi, na mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, wamemshukia vikali Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kwa kutoa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam, kati...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Azizi, na Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo (CCM), wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, aombe radhi kutokana...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023WAKATI mjadala wa mkataba wa ushirikiano kuhusu uendeshaji bandari, kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai Port World (DP World), ukishika...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, amelitaka amelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), liache kuwa wauzaji wa mafuta yanayotoka nje...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameikabidhi Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), tuzo ya kutambuliwa mchango wao...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023WANANCHI wa kijiji cha Nsele kata ya Kilondo tarafa ya Mwambao halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, wameiomba serikali kumalizia ujenzi wa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023BENKI ya NMB imetoa gawio la Sh. 45.5 bilioni ikiwa ni gawio kubwa zaidi kuwahi kutolewa na taasisi ya kifedha kwa Serikali. Serikali inamiliki...
By Mwandishi WetuJune 18, 2023UBONGO Kids waliotamba na katuni za watoto za Ubongo Kids na Akili na Me, sasa wamekuja na hadithi mpya za watoto wa Afrika...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi dhidi ya fedha za tozo za miamala ya...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023MKAGUZI mkuu wa hesabu za nje katika mkoa wa Songwe, Chausiku Marco ameipongeza halmashauri ya mji Tunduma kwa kuwa na hoja chache kuliko...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, amesema Mradi wa Maji unaotekelezwa katika ya Same na Mwanga utamaliza tatizo la uhaba wa maji...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023CHAMA Cha ACT-Wazalendo, kimekosoa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2023/24 na kudai kuwa haijaweka vipaumbele vinavyolenga kuboresha maisha ya wananchi...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023WAZAZI na walezi wametakiwa kuacha tabia ya kuwalinda watu wanaofanya vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto, kwa kupokea rushwa ili kuwanusuru na...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023JESHI la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo Nchini limesema kuwa katika kipindi cha mwezi juni mwaka huu...
By Mwandishi WetuJune 16, 2023KATIKA kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika wazazi na walezi wametakiwa kuwaongoza vyema watoto wao juu ya matumizi salama ya kidigitali kwa kuwa...
By Mwandishi WetuJune 16, 2023WAZIRI wa fedha, Mwigulu Nchemba, amewasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, huku sehemu kubwa ya fedha iliyotengwa ikielekezwa kwenye ulipaji...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023BENKI ya NMB imeadhimisha wiki ya uchangiaji damu salama kwa hiari baada ya kuwakusanya watumishi wa benki hiyo pamoja na wananchi katika mikoa...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) leo Alhamis imezindua akaunti mpya inayojulikana kama “Akaunti ya Mwalimu,” inayolenga kutoa suluhisho la huduma za kifedha...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023WANAVIJIJI kutoka kata nne za Wilaya ya Musoma Vijijini, mkoani Mara, wako mbioni kuondokana na adha ya huduma ya maji safi na salama...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023KATIBU Tawala wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Upendo Wella amewaomba viongozi, watumishi wa umma, binafsi na wananchi wilayani humo kuendeleza ushirikiano na ...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 ambao umekuwa ukilalamikiwa na wadau mbalimbali wakitaka vifungu 21...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023RAIS wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa nchi haijauzwa na wala haiziki, na kwamba Tanzania ni moja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya kujifungulia kwa kina mama wajawazito zaidi ya 500 katika kituo cha afya cha Mombo kilichopo...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeipongeza Benki ya NMB kwa safari yake ya mafanikio yaliyotukuka ya miaka 25! Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hayo yamesemwa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023RIPOTI ya waandishi wa Habari wasiokuwa na mipaka duniani wanaosimamia tovuti ya ‘Just Earth News’ iliyotolewa mwezi Mei mwaka huu inaiweka China...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023KAMPUNI ya Bia ya Serengeti, mmoja wa wazalishaji wakubwa wa bia nchini, amefichua kuwa analenga kuongeza vyanzo vyake vya malighafi kutoka kwa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023BENKI ya NMB ikiwa inaendeea kusherehekea safari yake ya mafanikio ya miaka 25, iliandaa bonanza la Michezo waliloliita Vuta Nikuvute visiwani Zanzibar. Kikosi...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023BALOZI Willibrod Slaa ameunga mkono uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, lakini ameishauri Serikali kurekebisha kasoro zinazolalamikiwa kwenye mkataba wa uwekezaji...
By Mwandishi WetuJune 13, 2023WACHIMBAJI wa madini ya dhahabu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwa mstari wa mbele kwa kushirikiana na Serikali katika kutatua changamoto mbalimbali ambazo...
By Mwandishi WetuJune 13, 2023MTANDAO wa kupinga utumikishwaji watoto Tanzania, umeiomba Serikali iweke mikakati itakayosaidia kutokomeza ajira za watoto ili kulinda ustawi wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023MKOA wa Shinyanga umeahidi kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na Shirika la Legal Services Facility (LSF), katika utekelezaji wa kampeni...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023WANAJESHI wa Colombia wanahudumia watoto hao wanne muda mfupi baada ya kupatikana, Wanajeshi wa Colombia wanahudumia watoto hao wanne muda mfupi baada ya...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa mafunzo ya udhibiti wa sumukuvu kwenye mahindi, karanga na bidhaa zake katika wilaya za Kiteto, Kongwa,...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michezo ya Dunia kwa watu wenye ulemavu wa akili wameondoka kuelekea Ujerumani kushiriki michezo hiyo itakayoanza Juni 17 hadi...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023KAMPUNI ya simu za mkononi Infinix mwanzoni mwa Mwezihuu ilizindua toleo la Infinix NOTE 30 Series nakusindikizwa na promosheni kubwa ya #Gusanishaijaekuvunja Record...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023MKUU wa wilaya Ileje mkoani Songwe, Farida Mgomi amelipongeza Shirika la Madini Taifa (STAMICO) kupitia mgodi wa Kiwira-Kabulo kwa kusaidia wananchi wanaozunguka mgodi...
By Mwandishi WetuJune 11, 2023SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa mafanikio yaliyotukuka katika kipindi cha miaka 25 ya kuhudumia Watanzania. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 11, 2023