Saturday , 27 April 2024

Month: December 2019

Habari za SiasaTangulizi

Bulaya alipuka na Bunge Kisutu

ESTER Bulaya, Mbunge wa Tarime Mjini ambaye ni mshtakiwa wa tisa, kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa chama cha Demokrasia na...

Habari za SiasaTangulizi

Dovutwa ang’ang’ana na uenyekiti wa UPDP 

FAHMI Nassoro Dovutwa, mwenyekiti wa taifa wa chama cha United People’s Democratic Party (UPDP), anayedaiwa kufukuzwa uongozi wa chama hicho, amegoma kuachia ngazi....

Habari Mchanganyiko

Utata wa mali za Mugabe waibuka

TERRENCE Hussein, Mwanasheria wa Familia ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka waliomtuhumu kiongozi huyo kujilimbikizia mali nje ya nchi, kupeleka taarifa...

Habari za Siasa

Zitto amng’ang’ania Prof. Kabudi ajiuzulu

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemtaka Prof. Palamagamba Kabudi, kujiuzulu uwaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,...

ElimuHabari Mchanganyiko

Majina waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza haya hapa

BARAZA la Mitihani nchini (NECTA), limetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Akitangaza majina hayo leo...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa amkwepa Sumaye

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, amekwepa kuzungumzia hatua ya Frederick Sumaye, kujitenga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari za Siasa

Video ya Zitto yaoneshwa kortini

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imekubali kupokea na kuoneshwa kwa video ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha...

Habari za Siasa

Hisia za Polepole, Zitto kwa Sumaye

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo pamoja na Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamezungumzia hatua...

Habari za Siasa

Sumaye: Wangesema ‘usiguse hapa’

FREDERICK Sumaye, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amelalamika kutoelezwa ‘ukweli,’ kwamba uchaguzi wa ngazi ya uenyekiti kwenye chama hicho, haufuati Katiba...

Habari za Siasa

Pigo Pwani, Katibu Chadema amfuata Sumaye

MAZINGIRA ya demokrasia goigoi ndani ya Chama cha Demokrasia na Mamendeleo (Chadema), yamemkimbiza Casmir Mabina, Katibu wa Chadema Kanda ya Pwani. Anaripoti Hamis Mguta...

Habari za Siasa

UN waumizwa na uamuzi wa TZ

TUME ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UN), imeitoa wito kwa Serikali ya Tanzania kutathimini upya, uamuzi wake wa kuzuia asasi...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye abwaga manyanga Chadema

ALIYEKUWA mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, ametangaza kukihama chama hicho.  Anaripoti Hamis Mguta … (endelea).  Akizungumza...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yapandisha umaarufu wa Sumaye

HATUA ya Frederick Sumaye, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, kutumia nembo ya taifa, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, akizungumzia...

Habari za Siasa

Mawakili wamuweka Zitto njia panda

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam inatarajia kuamua kupokea au kutopokea kielelezo cha upande wa mashitaka (Jamhuri). Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Ushahidi...

Habari Mchanganyiko

Zimbabwe yatangaza mali za Mugabe

SERIKALI ya Zimbabwe imeanika mali zilizoachwa na aliyekuwa rais wa taifa hilo, Robert Mugabe, aliyefariki dunia Septemba 2019. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa mujibu...

Habari za Siasa

Wanaoongoza kanda Chadema hawa hapa 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewatangaza viongozi wake 29 wa kanda, waliochaguliwa katika chaguzi zilizofanyika kuanzia tarehe 28 Novemba hadi Desemba Mosi...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru apiga mkwara Z’bar

KAULI iliyowahi kutolewa na Humphry Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM visiwani Zanzibar mwaka jana kwamba, kambi hazitasidia kupata mgombea, leo tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye, Mwambe hukumu yao Desemba 16

FREDERICK Sumaye na Cecil Mwambe, wanasubiri hukumu yao itayotolewa tarehe 16 Desemba 2019, baada ya kujitosa kugombea nafasi ya uenyekiti-Taifa kupitia Chadema. Anaripoti...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Tunachokozwa

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuwa macho. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari: Bila tume huru, ni vigumu kuingia Ikulu

PROF. Abdallah Safari, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amedai kuwa vyama vya upinzani nchini, haviwezi kuingia Ikulu, bila kuwapo...

Habari za Siasa

Ni kazi kubwa kutenda haki – Ally Hapi

ALLY Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa amesema, kazi kubwa zaidi katika uongozi hasa wa kuteuliwa ni kutenda haki. Anaripoti Hamis Mguta, Iringa …...

Habari za Siasa

Msigwa amtumia ‘Yesu’ kujitetea kortini 

PETER Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwamba amefunguliwa mashitaka ya uongo kama ilivyokuwa...

Habari za Siasa

Dovutwa ang’olewa UPDP 

FAHMI Dovutwa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha UPDP, ameondolewa kwenye nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Imeelezwa, Dovutwa ameng’olewa kwenye nafasi hiyo kwa...

Habari za Siasa

Lukuvi amtumbua Mkuu Idara ya Ardhi

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amemvua Ukuu wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Iringa, Wilbert Mtongani kwa kosa...

Habari za Siasa

Wiki ya jasho Mbowe na wenzake

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa siku tano mfululizo, kuanzia kesho tarehe 2 Desemba 2019, itasikiliza mfululizo kesi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Msajili aionya Chadema, Prof. Safari aduwaa

HATUA ya Frederick Sumaye, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema), Kanda ya Pwani kuangushwa kwenye uchaguzi wa kanda hiyo, imemshtua Prof. Abdallah...

error: Content is protected !!