Author Archives: Mwandishi Wetu

Magufuli ataja mrithi wake 2025, Lukuvi na Kabudi ‘out’

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, mtu atakayerithi mikoba yake baada kutoka madarakani mwaka 2025, hatakuwa na umri mkubwa zaidi yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo ameitoana leo ...

Read More »

Magufuli atoa sababu kumteua haraka Kabudi, Mpango

RAIS wa Taznania, John Pombe Magufuli ameeleza namna ‘alivyokoshwa’ na utendaji wa Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikian wa Afrika Mashariki pia Dk. Philip Mpango, Waziri ...

Read More »

JPM awaonya wanaosaka uwaziri kwa waganga

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, atachelewa kuunda Baraza la Mawaziri, ili apate muda wa kuchagua mawaziri wenye sifa watakaomsaidia kutekeleza Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa 2020/25 ya Chama ...

Read More »

Majaliwa: Mh. Rais, naanza na saruji

KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, ameagiza maofisa wa wizara yake na wakuu wa mikoa kwenda katika viwanda vya uzalishaji saruji, kujua sababu za bidhaa hiyo kupanda ‘kienyeji’. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

MO Dewji: Chama kwenda Yanga? ‘tumemaliza naye’

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ amesema, mchezaji wao, Clatous Chama ataendelea kuhudumu klabuni hapo hadi mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea) MO Dewji amesema ...

Read More »

Lissu aeleza atakachomwambia Rais Magufuli wakikutana

ALIYEKUWA mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, amemshauri Rais John Pombe Magufuli kuitisha meza ya ...

Read More »

NEC yatangaza uchaguzi kata 3 

TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC), imeitisha uchaguzi mdogo katika kata tatu zilizoshindwa kushiriki uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, kutokana na sababu mbalimbali. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Magufuli: Nitaendelea kuwaamini wanawake 

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, Serikali anayoiongoza itaendelea kuwaamini wanawake katika nafasi mbalimbali za uongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo Ijumaa tarehe ...

Read More »

‘2020-2025 ajira mil 8, ndege tano, meli nane’

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, mpaka kufikia mwaka 2025, atahakikisha amenunua ndege tano ikiwemo ya mizigo, meli nane za uvuvi pamoja na kupatikana ajira za watu milioni nane. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Magufuli: Vitambulisho vya machinga kuboreshwa 

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania amesema, vitambulisho vya wajasirimali ‘machinga’ vitaboreshwa zaidi ili kuwawezesha kupata mikopo benki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Rais Magufuli amesema hayo wakati akihutubia na ...

Read More »

Rais Magufuli: Hakuna demokrasia isiyo na mipaka

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, lengo la demokrasia sio kusababisha vurugu na kwamba, hakuna demokrasia isiyo na mipaka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Bunge la ...

Read More »

Rais Magufuli ateua mawaziri wawili

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ameanza kuunda baraza lake la mawaziri kwa kuteua mawaziri mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Walioteuliwa ni; Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa ...

Read More »

NCCR-Mageuzi yagomea wabunge viti maalumu

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania kimesema, hakiko tayari kupokea nafasi za ubunge wa viti maalumu kwani kitakuwa kinachochea machafuko kwenye jamii. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Msimamo ...

Read More »

Ukatili wa watoto, Tamwa yaiangukia jamii na Serikali

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimelaani matukio ya ukatili wa kijinsia yanayoendelea nchini huku kikiitaka Serikali na wananchi kutafuta mwarobaini wa changamoto hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »

Viti maalum: Spika Ndugai awashangaa Chadema kulumbana

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ‘amekishangaa’ Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuendelea na mjadala wa ama wapeleke majina ya wabunge wa viti maalum bungeni au wasipeleke. Anaripoti ...

Read More »

Sakata la kina Mazrui, DCI na Kamishna Polisi waitwa kortin  

MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar imewaamuru Kamishna wa Polisi Zanzibar na Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Zanzibar (DCI), kufika mahakamani kwa ajili ya kujieleza kwa nini hawajatoa dhamana au kuwafikisha ...

Read More »

Dk. Tulia achaguliwa naibu spika ‘nitawalinda wabunge vijana’

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema, atawapa kipaumbele na kuwalinda wabunge vijana waliokuwepo na waliongia kwa mara ya kwanza bungeni. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

Majaliwa achambuliwa bungeni, athibitishwa waziri mkuu

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limemthibitisha Mbunge wa Ruangwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. ...

Read More »

Magufuli amteua tena Majaliwa waziri mkuu 

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Lissu apigilia msumali wabunge viti maalum Chadema

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameendelea kupinga chama hicho kupeleka wabunge wa viti maalum bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaan ...

Read More »

Rais Mwinyi ‘awaita’ ACT-Wazalendo mezani

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, yuko tayari kushirikiana na vyama vingine vya siasa, kuendesha Serikali kama ambavyo Katiba ya Zanzibar inavyoelekeza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …(endelea). Ametoa ...

Read More »

Rais Mwinyi atoa matumaini Z’bar, awaonya watumishi

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, atawachukulia hatua kali watumishi watakaoshindwa kutekeleza majukumu yao kwa kigezo cha kusubiri maagizo kutoka kwa viongozi wa juu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »

Mwakilishi mteule ACT-Wazalendo afariki dunia

MWAKILISHI Mteule wa Pandani kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Abubakar Khamis Bakar (69) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano tarehe 11 Novemba 2020, akiwa nyumbani kwake Mbweni visiwani Unguja, Zanzibar. ...

Read More »

Magufuli kuhutubia Bunge Ijumaa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli atalizindua Bunge la 12 Ijumaa tarehe 13 Novemba 2020 sa 3:00 asubuhi jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akiahirisha shughuli za Bunge ...

Read More »

CUF yakengeuka, yameza matapishi yake

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimebariki wabunge wake wawili waliotangazwa kuwa washindi katika katika uchaguzi mkuu uliyopita nchini Tanzania, kuhudhuria vikao vya Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Mwakinyo amtangazia vita Muargentina

BONDIA mtanzania Hassani Mwakinyo anatarajia kushuka ulingoni 13 Novemba, 2020 kutetea mianda wake wa chama cha WBF dhidi ya bondia Raia wa Argentina, Jose Carlos katika pambani la uzito wa ...

Read More »

Ndugai awaonya wabunge CCM, ataka Bunge ‘live’  

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka wabunge wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokukaa kimya bungeni na watakaofanya hivyo “umeliwa na utakuwa umejimaliza.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ...

Read More »

Ndugai achaguliwa Spika wa Bunge 

JOB Ndugai, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Uchaguzi wa Spika, umefanyika leo Jumanne tarehe 10 Novemba ...

Read More »

Kambi ya upinzani bungeni yatoweka rasmi

JOB Ndugai, mgombea Uspika wa Bunge la 12 la Tanzania amesema, ofisi ya Bunge itatoka haki sawa kwa wabunge wote ikiwemo wa upinzani ambao hawatokuwa na Kambi Rasmi ya upinzani ...

Read More »

Lema aachiwa Kenya

MAMLAKA nchini Kenya, zimemwachia huru, Godbless Lema, aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Lema ameachiwa leo Jumatatu tarehe 9 Novemba 2020 ...

Read More »

Sakata la Mazrui lachukua sura mpya: ACT-Wazalendo waishitaki Polisi

CHAMA cha siasa cha ACT- Wazalendo, nchini Tanzania, kimengua shauri Mahakama Kuu ya Zanzibar, kutaka mahakama hiyo, kutoa amri ya kufikishwa mahakamani au kuachiwa huru kwa mmoja wa vigogo wandamizi ...

Read More »

Ushindi wa Biden: Korea, China ‘zakuna  vichwa’

WAKATI dunia ikidhani imepumua baada ya Donald Trump, Rais wa Marekani (2016-2020) kuangushwa, China na Korea Kaskazini zinaweza ‘kukasirishwa’ na uamuzi wa raia wa Marekani. Inaripoti Shirika la Utangazaji la BBC ...

Read More »

RC Kunenge atangaza fursa za biashara Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Aboubakar Kunenge amewataka wafanyabishara kuchangamkia fursa ya baishara katika Kituo cha Kimataifa cha Mabasi Mbezi Lius jijini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kituo ...

Read More »

Lema njia panda ukimbizini Kenya     

SHIRIKA la kimataifa la kupigania haki za binadamu (Amnest Internatioanal), limeitaka Mamlaka ya Kenya kutofikiria kumrejesha kwa nguvu nchini Godbless Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Anaripoti Mwa ndishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »

Magufuli azungumzia uteuzi wa mawaziri

JOHN Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema, baraza lake la mawaziri atakaloliunda, linatarajiwa kuwa na mabadiliko “wapo watakaorudi na wapo ambao hawatarudi.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Magufuli, Spika Ndugai wampa pole AG Kilangi

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, amempa pole Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini humo (AG), Profesa Adelardus Kilangi kwa majukumu mazito yaliyo mbele yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Pia, ...

Read More »

Lema akimbilia ubalozi wa Marekani kuomba hifadhi

ALIYEKUWA mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), nchini Tanzania, Godbless Lema amekimbilia nchini Kenya, ili kuomba hifadhi ya kisiasa, katika ubalozi wa Marekani, jijini Nairobi, Kenya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Kigogo CUF ang’olewa kwa kubariki uchaguzi mkuu

CHAMA Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimemvua madaraka Naibu Katibu Mkuu wake Zanzibar, Ali Makame Issa kwa kosa la kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho wa kutokubali matokeo ya ...

Read More »

Dk. Mwinyi ateua makamu wa pili wa Rais

RAIS na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Hemed Suleiman Abdallah kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …(endelea). Taarifa ...

Read More »

Mambo matano Bunge jipya

WAKATI Bunge la 12 likianza shughuli zake Jumanne tarehe 10 Novemba 2020 jijini Dodoma, mambo matano yanatarajiwa kujili ndani ya Bunge hilo ambalo limesheheni wabunge wengi kutoka chama tawala- Chama ...

Read More »

Viti Maalum Chadema pasua kichwa, CC yaahirishwa

CHAMA cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kiko njiapanda juu ya kuamua kupendekeza majina ya wabunge wa viti maalum kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Wabunge wateule waitwa Dodoma

WABUNGE wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wametakiwa kufika Dodoma kwa ajili ya usajili unaoanza leo Jumamosi hadi tarehe 9 Novemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

CCM yawapitisha Ndugai, Dk. Tulia kuwania Uspika

CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeteua majina mawili ya wanachama wake, watakaogombea Uspika na Naibu Spika wa Bunge la 12 la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Waziri wa zamani kuzikwa J’nne Moshi 

MWILI wa waziri wa zamani wa Serikali ya Tanzania, Dk. Cyril Chami utazikwa Jumanne tarehe 10 Novemba 2020 kijijini kwao Kibosho, Moshi Mkoa wa Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Rais Museveni azungumzia anguko la Mbowe

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema aliona mapema anguko la vyama vya upinzani kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Rais Museveni amesema hayo leo ...

Read More »

Dk. Magufuli kuapishwa kesho, mataifa 17 kuhudhulia

SERIKALI ya Tanzania imesema, viongozi wa ngazi za juu na wawakilishi wa nchi zaidi ya 17 wamethibitisha kuhudhulia sherehe ya kumwapisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya ...

Read More »

Rais Mwinyi aanza kuunda serikali. ateua AG

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameanza kuisuka Serikali anayoiongoza kwa kumteua Dk. Mwinyi Twalib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Dk. Mwinyi amefanya uteuzi ...

Read More »

Mbowe, Zitto, Lema waachiwa 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzao wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Ndugai, Dk. Tulia wajitosa Uspika

JOB Yustino Ndugai, Mbunge mteule wa Kongwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejitosa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea Uspika wa Bunge la 12 la Jamhuri ya ...

Read More »

Zitto akamatwa, Mdee…

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limemkamata Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Kituo cha Polisi Osterbay jijini humo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »
error: Content is protected !!