Monthly Archives: April 2019

Spika Ndugai amng’ang’ania Lema

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini leo mchana tarehe 3 Aprili 2019 atakutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maadili saa 8 mchana baada ya kuagiza kufanya hivyo na ...

Read More »

Dott Service yaingia ‘anga’ za JPM

RAIS John Magufuli ameicharukia kampuni ya ukandarasi ya Dott Service, kwa kuchelewa kumaliza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Mtwara – Mnivata. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Akizungumza katika uwekaji ...

Read More »

CAG ajibu, atahadharisha Bunge

SIKU moja baada ya Bunge la Jamhuri kuazimia kutofanya kazi na Profesa Mussa Assad, Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), mkaguzi huyo ametoa tahadhari. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mdhibiti ...

Read More »

TP Mazembe kutua kesho, kuivaa Simba

KLABU ya soka kutoka nchini DR Congo TP Mazembe inatarajia kuwasili nchini kesho kwa ajili ya mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba utakaochezwa Jumamosi ...

Read More »

Mbunge Chadema ahoji uharaka wa serikali kubinafsisha viwanda

MBUNGE wa Viti Maalum, Devotha Minja (Chadema) amehoji serikali sababu za kushindwa kufanya maandalizi mazuri katika ubinafsishaji wa viwanda? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Na kwamba, badala yake viwanda vingi ...

Read More »

Wananchi wafungiwe dira mpya za maji – Serikali

SERIKALI imeagiza wananchi kuendelea kufungiwa dira mpya za maji – Lipa Kadiri Utumiavyo – ili kupunguza malalamiko yao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hatua hiyo pia imeelezwa kuwa, itapunguza ...

Read More »

Rais Magufuli aeleza kilichokwaza malipo zao la korosho

KUWEPO kwa majina hewa takribani 780, kumetajwa kuwa miongoni mwa sababu za serikali kuchelewa kulipa wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo amesema Rais John ...

Read More »

JPM arejesha matumaini wakulima wa korosho

RAIS John Magufuli amerejesha matumaini kwa wakulima wa zao la kibiashara la korosho ambao bado hawajalipwa fedha zao mpaka sasa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Ameagiza mamlaka husika kutoa kiasi cha ...

Read More »

Lema achafua Bunge, wapinzani watoka nje 

BAADHI ya wabunge wa upinzani, wametoka nje ya Bunge, kupinga hatua ya Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kumshitaki kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Haki, Kinga, Maadili ...

Read More »

Bunge la Ndugai laamua kumtenga Prof. Assad

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeazimia kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kwa madai ya kwenda kinyume na kifungu ...

Read More »

Zitto: Haya ndio mavuno ya ACT-Wazalendo kwa Maalim Seif  

HATUA ya Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo, imepaisha chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mpaka sasa, ACT-Wazalendo kimevuna ...

Read More »

Bunge la 15 kuanza kesho, miswada miwili kupitishwa

MKUTANO wa kumi na tano wa bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili na kupitisha miswada miwili ya sheria ambayo itasomwa kwa hatua zake zote. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Miswada ...

Read More »

TFF yatoa kauli uchaguzi mkuu Yanga

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), chini ya Mwenyekiti wake Wakili Ali Mchungahela imetangaza tarehe 5, Mei 2019 ndiyo siku utakaofanyika uchaguzi mkuu wa klabu ...

Read More »

Tamisemi yawaangukua wadau vyama vya siasa 

WAKATI uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, ukitarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imewataka wadau wa vyama vya siasa, kutoa ...

Read More »

AZAKI zapeleka fikra mpya Ofisi ya Msajili

ASASI za Kiraia (AZAKI) nchini zimemshauri Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuunda Kamati Huru itakayoshughulikia tuhuma zinazokikabili Chama cha ACT-Wazalendo, badala ya kutishia kukifuta. Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

TFS watimua wafugaji ndani ya hifadhi Ikowa

MENEJA wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Kanda ya Kati, Mathew Kiondo ametoa siku mbili kwa wafugaji wanaolisha mifugo yao katika Msitu wa Ikowa wilayani Chaminwo jijini Dodoma kuondoka haraka. Anaripoti ...

Read More »

‘Wahuni’ Afrika Kusini waanza kuua wageni

WATU watatu wameuawa huku 50 wakitafuta hifadhi kwenye vituo vya polisi katika mashambulizi yaliyofanywa na baadhi ya raia wa Afrika Kusini, wanaopinga uwepo wa wageni nchini humo. Inaripoti Mitandao ya ...

Read More »

Maalim Seif: Inaniuma kuhama CUF

JEMEDARI wa siasa za upinzani visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza, hatua yake ya kuondoka katika Chama cha Wananchi (CUF) imeacha majonzi moyoni mwake. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Maalim ...

Read More »

Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni, njiapanda

KAMBI Rasmi ya upinzani bungeni, iko hatarini “kusambaratika” kufuatia “mapinduzi” ya kisiasa, yaliyotokea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Danson Kaijage kutoka Dodoma … (endelea). Taarifa zilizopatikana kutoka kwa ...

Read More »

Ninaandamwa na dola – Maalim Seif

NINAANDAMWA na dola. Ndiyo kauli ya Maalim Seif Shariff Hamad, Makamu wa Rais wa Kwanza katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Maalim Seif, aliyekuwa Katibu Mkuu ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram