Daily Archives: May 8, 2020

Bosi KADCO afariki dunia

MHANDISI Christopher Mukoma, Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO), amefariki dunia leo Ijumaa tarehe 8 Mei 2020, kutokana na tatizo la shinikizo la ...

Read More »

Lwakatare ‘amrithi’ Mbowe U-KUB

WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupia Chadema, amekana kumpindua Freeman Mbowe, katika nafasi ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), bali amechaguliwa na wabunge wenzake kushika nafasi ...

Read More »

Waziri Ummy atoa sababu kusitisha taarifa za corona

SERIKALI ya Tanzania imesema imesimama kutoa takwimu za mwenendo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19), kwa sababu ya matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza katika ...

Read More »

Mhasibu wa AMCOS, wafanyabiashara 16 mikononi mwa Takukuru

PAUL Nkuba, Mhasibu wa Chama cha Msingi cha Wakulima wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga, cha MHEDI, pamoja na wafanyabiashara 16, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), ...

Read More »

Rais Magufuli ateua mwenyekiti TSC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Willy Komba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (Teachers’ Service Commission – TSC). Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Wizara Nishati yajivunia mafanikio lukuki 2015-2020

WIZARA ya Nishati na Madini imeeleza mafanikio yake kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020). Anaandika Danson Kaijage, Dodoma…(endelea).   Katika hotuba ya wizara yake, Dk. Medard Matogolo Kalemani, waziri wa ...

Read More »

Mbowe atoa msimamo kurudi bungeni, kukatwa fedha

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, amesema linapokuja suala la usalama wa maisha, pesa haina thamani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na Shirika la Utangazaji la ...

Read More »

Wanafunzi waliosimamishwa UDSM, mikononi mwa baraza la nidhamu

HATIMA ya wanafunzi watano wakiwemo viongozi wa serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso) kuendelea na masomo au kufukuzwa iko mikononi mwa baraza la nidhamu la ...

Read More »

Utata waibuka Mwambe kuendelea kuwa ‘mbunge’

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameibua hoja iliyoibua utata kuhusu Cecil Mwambe, aliyekuwa mbunge wa Ndanda, mkoani Mtwara, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Jacob apambana kutetea umeya wake

BONIFACE Jacob, aliyevuliwa umeya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, amesema taratibu zinamtambua kuwa bado ni Meya. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Mbele ya waandishi wa habari jijini ...

Read More »

Mkasa wa kusisimua wa Dk. Lamwai usioujua

KIFO cha Dk. Masumbuko Roman Lamwai, kilichokea usiku wa Jumatatu tarehe 4 Mei 2020, kimewatoa machozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Anaandika Regina Mkonde, Da es Salaam … (endelea). Dk. Rugemeleza ...

Read More »

Mhasibu wa halmashauri, msaidizi jela miaka saba kwa wizi Mil 34

MAHAKAMA ya Wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara nchini Tanzania imemhukumu Peter Mollel, aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Simanjiro kifungo cha miaka saba gerezani kwa makossa ya wizi akiwa mtumishi ...

Read More »

Jinsi Chadema ilivyopoteza Mameya Dar

UCHAGUZI Mkuu nchini Tanzania uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015, ulishuhudia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikipewa ridhaa na wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, kuongoza Manispaa tatu za ...

Read More »