Saturday , 27 April 2024

Day: March 8, 2019

Habari za Siasa

Kubenea kufuta machozi walimu Shule za Msingi Mburahati, Karume

SAED Kubena, Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam ameahidi kukarabati ofisi za walimu ili kutatua kero zao za kufanyia kazi...

Habari za Siasa

RITA yapitisha Bodi ya Wadhamini CUF Lipumba

KATIKATI ya mgogoro wa makundi mawili ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), Wakala wa Usajili, Udhamini na Ufilisi (Rita) imesajili majina manane kuunda...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee: Lowassa anavuja damu ya usaliti

HATUA ya Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema kurejea CCM imetajwa kwamba ni usaliti kwa waliomwamini na kumpigia kura kwenye Uchaguzi Mkuu...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara Dodoma waonywa

WAFANYABISHARA  wa soko kuu la Majengo jijini hapa wameonywa kutowachagua viongozi wenye kuhamasisha migogoro ndani ya soko. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Makala & Uchambuzi

Gombaneni lakini kunyimana hapana!  

NAWAKARIBISHA katika safu hii ya Jamvi la Babu Jongo. Babu yenu niko salama na pia namshukuru Muumba kwa kunijaalia afya na uwezo wa...

Habari Mchanganyiko

“Mali za ushirika zilizopigwa zawekewa mikakati”

SERIKALI imekiagiza Chama Kikuu Cha Ushirika (Nyanza) mkoani Mwanza kuhakikisha kinaorodhesha na kuzitambua mali zote  za chama hicho zilizokuwa zimetaifishwa kinyemera. Anaripoti Moses Mseti,...

Habari za Siasa

Chadema, ACT wapigwa ‘stop’ kuadhimisha siku ya wanawake

JESHI la Polisi limezuia vyama vya ACT-Wazalendo na Chadema kufanya maazimisho ya siku ya wanawake katika mikoa ya Katavi na Geita. Anaripoti Regina...

Habari Mchanganyiko

MO ahofia yatima wa Kibonde, Kikwete: Jahazi litaendeleaje?

WAKATI maandalizi ya kuupumzisha mwili wa aliyekuwa mtagazaji wa Redio ya Clouds,Ephraim Kibonde baada ya kufariki dunia jana asubuhi tarehe 7 Machi 2019...

Habari Mchanganyiko

LHRC yaitaka serikali kuboresha sheria zinazokandamiza wanawake

IKIWA leo tarehe 8 Machi 2018 Tanzania na dunia nzima inaadhimisha siku ya wanawake duniani, serikali imeendelea kusisitizwa kuboresha sera na sheria zinazohusu...

error: Content is protected !!