Tuesday , 7 May 2024
Home Kitengo Maisha Afya Serikali kujenga madarasa 15,000, vituo vya afya 250
AfyaElimuHabari za Siasa

Serikali kujenga madarasa 15,000, vituo vya afya 250

Spread the love

 

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuna fedha ambayo ameipata na sasa anatarajia kushirikiana na halmashauri zenye uwezo kifedha kujenga madarasa 15,000 nchi nzima licha ya kuwepo kwa uhaba wa madarsa 11,000 hadi sasa. Anaripoti Noela Shila, TUDARCo … (endelea). 

Pia amesema alipoingia madarakani Machi 19 mwaka huu amekutana tarafa 250 hazina vituo vya afta, hivyo atatumia tozo za miamala ya simu kujenga vituo hivyo katika tarafa zote.

Rais Samia ametoa kauli hiyo leo tarehe 27 Septemba, 2021 jijini Dodoma wakati akihutubia Mkutano Mkuu maalumu wa uchaguzi wa viongozi wakuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) wenye kauli mbiu “chagua viongozi bora kwa maendeleo endelevu.”

“Sina maana kwamba halmashauri zenye fedha nyingi hiyo fedha itakuwa exempted kwenye kujenga madarasa hapana.

“Ni ile ambayo serikali kuu itatafuta na halmashauri zenye uwezo tutakwenda kushirikiana kujenga mdarasa hayo 15,000. Lengo ikifika 2022 watoto wote waingie shule kwa pamoja,” amesema.

1 Comment

  • Kuna fedha ambayo ameipata? Kutoka wapi? Ni fedha zake au za umma? Ni tozo na kodi ama mkopo wa IMF? Naomba ufafanuzi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Wanaotaka kujifunza ZEC kwao kukoje?

Spread the loveMKURUGENZI wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Biteko, Nape wanadanganya?

Spread the loveKWA mila na desturi zetu za Kiafrika mkubwa huwa hakosei,...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Miamka 60 ya Muungano: Tunakwama wapi?

Spread the loveRAIS wa Jamhuri, Samia Suluhu Hasssan, Ijumaa iliyopita, aliongoza mamilioni...

ElimuHabari za Siasa

Serikali kuongeza wanufaika mikopo ya elimu ya juu

Spread the loveSERIKALI imesema itaongeza idadi ya wanufaika wa mikopo ya elimu...

error: Content is protected !!