Saturday , 27 April 2024

Day: August 6, 2020

Habari Mchanganyiko

TFRA: Mawakala, wasambazaji wafikirieni wakulima wadogo

MAWAKALA wa usambazaji mbolea kwa wakulima nchini wametakiwa kuweka mbolea zenye ujazo wa aina mbalimbali madukani ili wakulima wenye uwezo wowote wa kifedha...

Habari Mchanganyiko

Mradi wa maji Jet-Buza neema kwa wananchi

AWAMU ya kwanza ya Ujenzi wa Mradi wa maji wa Jeti-Buza jijini Dar es Salaam inaendelea kwa kasi ambapo mtandao wa bomba la...

Habari za Siasa

Watatu wajitosa kuwania urais NCCR-Mageuzi

WANACHAMA watatu wa chama cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, watachuana kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Membe watwishwa zigo ushirikiano Chadema na ACT-Wazalendo

HATMA ya kuwapo kwa ushirikiano wa vyama viwili vya siasa nchini Tanzania vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT- Wazalendo kuelekea...

Kimataifa

Mlipuko Beirut: Vifo vyafika 137

NCHI ya Bangladesh imetangaza kupeleka msaada wa chakua na dawa haraka baada ya Mji wa Beirut, Lebanon kukumbwa na janga la mlipuko. Inaripoti...

Habari za Siasa

Magufuli atamani Ndugai awe spika tena

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, ameanza kupigiwa kampeni za kuongoza Bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya uchaguzi...

Habari za Siasa

CCM kuzindua kampeni Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Rais John Pombe Magufuli, amependekeza kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 za...

Habari za Siasa

Magufuli: Nataka Tanzania iwe kama Ulaya

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amesema, Serikali anayoingoza, imefanya mambo makubwa kwa wananchi huku akitamani...

Habari za Siasa

CCM yaiga staili ya upinzani

KAULI zilizokuwa zikitolewa na vyama vya upinzani nchini Tanzania kwamba ‘tutalinda kura zetu,’ sasa zinatolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Michezo

Ninja arejea Yanga

ABDALLAH  Shaibu (Ninja) amerejea tena ndani ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya La Garaxy inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani....

Michezo

Mshambuliaji mpya Yanga aibuka mchezaji Bora mwezi Julai

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Julai katika...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: CCM yaanza mbwembwe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kimeanza kumwaga tambo, mbwembwe na kejeli dhidi ya vyama pinzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Jumatano tarehe 28...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli achukua fomu kuwania urais Tanzania

DAKTARI John Pombe Magufuli amechukua fomu ya kuwania urais wa nchi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Alhamisi tarehe 6 Agosti 2020...

Habari za Siasa

Prof. Assad atajwa Ilani ya ACT-Wazalendo

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeahidi kumrudisha  Profesa Mussa Assad, katika nafasi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Ilani ya ACT-Wazalendo hii hapa

MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika jana tarehe 5 Agosti 2020, jijini Dar es Salaam umepitisha Ilani zake Uchaguzi Mkuu wa tarehe...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yafanyia mabadiliko Katiba yake

MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, umefanya marekebisho ya Katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Mabadiliko hayo...

error: Content is protected !!