Friday , 26 April 2024
Home katimba
60 Articles6 Comments
Habari za Siasa

Waislam wamporomoshea dua JPM

SWALA ya Eid Alhaj iliyoswaliwa kitaifa jijini Dar es Salaam imemalizika kwa kuombewa dua Rais John Magufuli. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Dua...

Makala & Uchambuzi

Lipo doa, NEC itazamwe vizuri

MFUMO wa uendeshaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC) unalalamikiwa – kwa muda mrefu sasa kutokana na madai ya kushindwa kubeba...

Habari Mchanganyiko

SSRA: Dawa ya waajiri ‘wakaidi’ imepatikana

HATUA ya waajiri kutolipa michango ya wafanyakazi wao katika mifuko ya kijamii imepatiwa dawa. Anaripoti Yusuph Katimba…(endelea). Ilivyo sasa mwajiri akishindwa kulipa, atapelekwa...

Habari za Siasa

Kikwete: Asante serikali, asante wadau

RIDHIWANI Kikwete, Mbunge wa Chalinze mkoani Pwani ameeleza kufurahishwa na namna serikali na wadau wa maendeleo wanavyoshiriki kulivusha Jimbo la Chalinze katika vikwazo...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli awapa pole Waislam

RAIS John Magufuli ametuma pole kwa Waislam nchini kutokana na kifo cha aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Salum Hassan Fereji. Anaripoti Yusuph...

Habari za SiasaTangulizi

Waitara atumwa kuinadi CCM Buyungu

ALIYEKUWA mbunge wa Ukonga, kupitia Chama cha Demokrasia (CHADEMA), Mwita Mwaikabe Waitara, anaelekea jimboni Buyungu, wilayani Kakonko, mkoani Kigoma, kukiongezea nguvu chama chake...

Habari za Siasa

CCM yamgeuka Lugola Buyungu

MAZINGIRA ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Buyungu yamekilazimisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumtosa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola....

Makala & Uchambuzi

Kiswahili kimefika kiwango hiki

KUNA watumiaji wachache wa mtandao maarufu wa facebook wanaofahamu kwamba, mtandao huu unatumia lugha ya Kiswahili kuandaa mikataba ya kulinda taarifa zao za...

Kimataifa

Marekani: China ni tishio

MAREKANI inapiga yowe kwamba, China inanyemelea nafasi yake ya kuwa taifa kubwa duniani. Inasema China inaendesha ‘vita baridi,’ pia ni tishio. Anaripoti  Yusuph...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kinakwenda Buyungu kushiriki uchaguzi au kushinda?

KIPYENGA cha kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Buyungu, wilayani Kakoko, mkoani Kigoma, kimepulizwa. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Uchaguzi mdogo...

error: Content is protected !!