Monday , 6 May 2024
Home Kitengo Michezo TFF: Fei Toto mchezaji halali wa Yanga
MichezoTangulizi

TFF: Fei Toto mchezaji halali wa Yanga

Spread the love

 

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji wa Yanga kwa mujibu wa mkataba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa iliyotolewa leo tarehe 7 Januari, 2023 na Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Mario Ndimbo imesema uamuzi kamili kwa pande zote mbili zilizokuwa zinahusika katika shauri utatolewa Jumatatu tarehe 9 Januari, 2023.

Klabu ya Yanga iliwasilisha malalamiko mbele ya kamati hiyo ikipinga hatua ya mchezaji wao Feisal Salum kuvunja mkataba kati yao bila kuwashirikisha.

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ilisikiliza malalamiko hayo jana ambayo pande zote (Yanga na Feisal Salum) ziliwakilishwa na wanasheria wao.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Kinana: Hatukubali kushutumiwa kwa uongo

Spread the loveMakamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana amesema viongozi wa...

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love JUMAPILI ya leo imekaa kipesa tuu yani baada ya...

Michezo

Usiishie kuangalia tu game za leo, piga na mkwanja na Meridianbet

Spread the love  LIGI mbalimbali barani ulaya zitarejea tena Jumamosi ya leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kimbunga Hidaya chatikisa Mafia

Spread the loveWAKATI hali ya upepo mkali ikiendelea kushuhudiwa katika baadhi ya...

error: Content is protected !!