Saturday , 27 April 2024
Home Gazeti Habari Uingereza wataabika, nyuzijoto lafikia 40
HabariKimataifa

Uingereza wataabika, nyuzijoto lafikia 40

Spread the love

HALI ya hewa nchini Uingereza inatarajiwa kuwa ya joto kali la kuvunja rekodi leo tarehe 19 Julai, 2022 na kufikia nyuzi 38 za joto.

Mamlaka ya hali ya hewa nchini humo imesema katika baadhi ya maeneo huenda joto likapindukia nyuzi 40 za joto. Inaripoti mitandao ya kimataifa… (endelea).

Baadhi ya shule zimeamua kufunga na watu wanaotumia treni kwa usafiri wameshauriwa kubaki nyumbani.

Aidha, maeneo ya kusini mwa Ulaya yameanza kupata ahueni baada ya wimbi la joto kali lililosababisha mamia ya vifo vya watu mwishoni mwa wiki iliyopita bado wazimamoto wanapambana na mioto ambayo inaendelea kuteketeza misitu.

Wanasayansi wametoa tahadhari, wakisema zaidi ya nusu ya eneo la Umoja wa Ulaya litakabiliwa na ukame.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Tanzania, Somalia kuibua maeneo mapya ya ushirikiano

Spread the love  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Somalia...

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

error: Content is protected !!