Daily Archives: October 7, 2020

Fisi aliyeua mtoto auawa

KIKOSI dhidi ujangili kutoka Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori (TAWA) kimefanikiwa kumdhibiti fisi aliyemuua mtoto Kwangu Makanda (11) na kujeruhi watu wawili katika kijiji cha Mbogo wilayani Itilima Mkoani Simiyu. Anaripoti ...

Read More »

Kubenea akumbusha ya Kikwete, Mkapa

SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam kupitia ACT-Wazalendo amewataka wananachi kuchagua viongozi wenye uchungu na taifa lao. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea). Amesema, wabunge wanaotokana na ...

Read More »

Majaliwa aipa siku tatu wizara ya kilimo

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Wizara ya Kilimo kukutana na menejenti ya kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa mbolea ya YARA ili kuhakiki na kupata ...

Read More »

Magufuli, Dk. Chakwera wazungumzia uchaguzi mkuu

MARAIS John Magufuli wa Tanzania na Dk. Lazarus Chakwera wa Malawi wamezungumzia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Viongozi hao ...

Read More »

Lissu atinga Kariakoo kwa mwendokasi

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kuliboresha Jiji la Dar es Salaam, endapo atashinda Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. ...

Read More »

Mbowe kufikishwa kwa msajili

VYAMA nane vya siasa nchini Tanzania, vimelaani kauli iliyotolewa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema kuvituhumu kwamba vinatumika kurudisha nyuma mapambano ya kupigania haki na demokrasia nchini humo. Anaripoti Mwandishi, ...

Read More »

TLS yajitosa kumtetea Fatma Karume

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimejitosa kumtetea Fatma Amani Karume aliyehukumiwa na kamati ya Maadili ya Mawakili kuondolewa jina lake (namba 848) kwenye orodha ya mawakili wa TLS. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Rais Magufuli amfariji Zitto

RAIS John Magufuli amempa pole Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyepata ajali ya gari jana tarehe 6 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Zitto ...

Read More »

Simba na Yanga yaota Mbaya, sasa kupigwa Novemba 7

BODI ya Ligi imehailisha mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kati ya Yanga dhidi ya Simba uliokuwa uchezwe 18 Oktaba, 2020 na sasa utapigwa 7 Novemba, 2020 kutokana kuwepo kwa ...

Read More »
error: Content is protected !!