Friday , 26 April 2024

Day: August 3, 2020

Habari za Siasa

Mwalimu apendekezwa mgombea mwenza urais Chadema

BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema) kimependekeza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu kuwa mgombea mwenza wa urais...

Habari za Siasa

Urais Z’bar: Chadema kumsimamisha Said Mohamed

BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema) kimependekeza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, Said Issa Mohamed kuwa mgombea Urais wa...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ashinda Urais Chadema

TUNDU Antipus Lissu, amependekezwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema) kuwa mgombea urais wa chama hicho katika...

Tangulizi

Tshishimbi, Molinga, Ngassa watemwa rasmi Yanga

NAHODHA wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi pamoja na mshambuliaji raia wa Congo, David Molinga wameachwa rasmi na uongozi wa klabu hiyo mara baada...

Habari za Siasa

Wagombea urais Chadema wabanwa mbavu

WAJUMBE wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamewabana watia nia wa urais kupitia chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Michezo

TFF yampiga nyundo aliyekuwa kocha Yanga

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya Sh. 8 milioni, aliyekuwa kocha wa Yanga,...

Habari za Siasa

Mbowe ataja sababu ya kukacha kugombea urais

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, ameacha kugombea urais ili ajenge chama hicho. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Mwijaku arudi uraiani

MSANII wa maigizo Burton Mwambe (35) maarufu kwa jina la Mwijaku, sasa amerejea uraiani baada ya kukaa siku tano mahabusu. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Mkuu: ACT-Wazalendo, Chadema nguvu moja

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama cha ACT-Wazalendo, wapo kwenye meza ya mazungumzo ya kuunda nguvu moja ili kuing’oa...

Tangulizi

Makonda: Nisameheni

PAUL Makonda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameomba msamaha kwa yeyote aliyemkosea wakati akitekeleza majukumu ya ukuu wa mkoa wa...

Habari za Siasa

Asilimia 70 wakazi Dar ni wambea – Makonda

PAUL Makonda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, asilimia 70 ya wakazi wa jiji hilo ni wambea. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Baraza Kuu Chadema: Ni Lissu, Nyalandu

BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinafanyika leo Jumatatu tarehe 3 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Safari hii tunakaba kote

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema, kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, hakitaruhusu sehemu yoyote Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa. Anaripoti...

Habari za Siasa

Zitto amteua Membe kuwa mshauri mkuu ACT-Wazalendo

BERNARD Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepewa cheo cha ‘mshauri wa chama’ hicho. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Urais Chadema: Kesi za Lissu si hoja

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeeleza kwamba hakitakwama kumpitisha Tundu Lissu kwa sababu ya kuhofia kesi zake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

error: Content is protected !!