Daily Archives: February 12, 2020

Siku saba ngumu kwa Membe, Kinana, Mzee Makamba ndani ya CCM

KAMATI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM),  imetoa siku saba kwa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu, kukamilisha taarifa ya mahojiano ya Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu ...

Read More »

Joto Zitto kukamatwa lapanda

HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo kudai kuundiwa zengwe la kuhusishwa na utakatishaji fedha, limekishtua chama hicho. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Tarehe 7 Februari ...

Read More »

Mch. Msigwa: Nakubalika

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, amesema kila baada ya miezi mitatu, hufanya utafiti kubaini idadi ya wananchi wanaomuunga mkono jimboni humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Mchungaji Msigwa ...

Read More »

Wizara Afya yakabidhiwa hospitali ya Maweni

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekabidhiwa rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Maweni. Anaripoti Mwandishi wetu, Kigoma…(endelea). Akikabidhiwa hospitali hiyo, Katibu Mkuu wa wizara ...

Read More »

Hivi ndivyo Trump anavyoiua Palestina

RAIS wa Marekani, Donald Trump anataka dunia itambue, kwamba anashughulika kutatua mgogoro kati ya Israel na Palestina. Anaandika Mwandishi Wetu… (endelea). Harakati na juhudi zake zinakinzana wazi na kile anachokitambulisha ...

Read More »
error: Content is protected !!