Saturday , 11 May 2024
Home Kitengo Biashara Kampuni ya ubashiri Tanzania Meridianbet yatua Mwenge
Biashara

Kampuni ya ubashiri Tanzania Meridianbet yatua Mwenge

Spread the love


LEO hii siku za Jumamosi Meridianbet wakiongozwa na Mhariri wa kampuni hiyo za ubashiri Tanzania walifika maeneno za Mwenge jijini Dar es salaam na kugawa Reflectors kwa boda boda wa eneno hilo.

Hii sio mara za kwanza kwa Meridianbet kugawa Reflectors kwa boda boda, Dereva bajaji na hata kwa wale wasimamizi wa maegesho za magari katika maeneo mbalimbali lakini safari hii wameamua kuwageukia bodaboda wa Mwenge kwani eneo hilo kubwa na limekua kwa kiasi kikubwa na wapo sana.

Reflectors hizo zitawasaidia kuwakinga na ajali hasa nyakati za usiku kwani mara nyingi ajali hutokea nyakati hizo kutokana na watu wengi kuwa na mwendo mkali na kutozingatia alama za barabarani, lakini pia hiyo itawasaidia wao kuonekana kwa urahisi wakiwa wamezivaa.

Meridianbeti magwiji wa ODDS KUBWA Tanzania hii ni mara ya wanakwambia hivi Jumamosi za leo ndio siku pekee za wewe kujipigia mkwanja wako kwa kubashiri mechi zako uzitakazo na kuchagua machaguo sahihi. Kule EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA, kitawaka hasa.Suka mkeka wako na uweke jamvi lako sasa.

Ikiwa ni mwendelezo wa zoezi hilo la Ugawaji wa vifaa hivyo kwa madereva na Wasimamizi wa Maegesho, Leo wamewafikia madereva hao katika eneo la Mwenge ikiwa eneo hilo ni eneo mojawapo kubwa katika usafirishaji jijini Dar es salaam.

Zoezi hilo lilianza asubuhi kabisa ambapo timu ya meridianbet walifurahia mapokezi ambayo waliyapata kwa wakazi wa Mwenge kwani ujio wao ulikuwa wa faida kwa dereva bodaboda na bajaji kwani Reflectors zina faida sana kwa watuamiaji wa vyombo vya barabarani.

Nancy Ingram alisema kuwa, “Tunathamini sana Usalama wa Barabarani ndio maana tunagawa vifaa hivi kwa Madereva na Wasimamizi wa Maegesho ili kuweza kuhakikisha usalama wao hasa wakati wa majukumu yao ya kazi”

Baada za kupokea vifaa hivyo madereva hao waliishukuru sana Meridianbet kwa msaada huo na kuwaambia watu kuwa watumie meridianbet kufanya ubashiri kwani wao wameonyesha kuwajali wananchi ambao kwa namna moja hutumia kampuni hiyo kufanya ubashiri.

Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator,Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet kasino yaja na promo ya mil 200/=

Spread the love  Kimbunga Hidaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo...

Biashara

Moon of Thoth, historia ya Misri ya kale ilipofichwa ndani ya kasino

Spread the love  Nchi ya Misri imebeba karibia asilimia kubwa ya mambo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafugaji kuku Ihemi wanufaika na mafunzo

Spread the loveWADAU  wa mnyororo wa thamani katika sekta ndogo ya kuku...

Biashara

Expanse Tournament kasino mzigo umeongezwa hadi mil 400/=

Spread the love Jiunge na Meridianbet kasino kufurahia promosheni kubwaya Expanse Tournament,...

error: Content is protected !!