Friday , 10 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia amtumbua Mkurugenzi Mwanza
Habari za Siasa

Rais Samia amtumbua Mkurugenzi Mwanza

Sekiete Yahaya Selemani
Spread the love

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili 2023.

1 Comment

  • Mawaziri walioguswa na CAG je?
    Tusipofanya ya kweli kama Singapore tutaendeleza umaskini.
    Utajiri tunaoambiwa tunao, ni mafuta ya mgongo wa chupa. Hakuna nchi ya Ulaya isiyofuta mikataba kwa sheria mpya ya bunge…waafrika tunaambiwa na kupewa vipengele hivyo ingawaje nchi ni yetu.
    Itungwe Katiba mpya iseme hakuna sheria isiyobadilishwa kwa manufaa ya taifa!
    Tunaambiwa tukishasaini mkataba hatuwezi kutunga sheria kuufuta…ni kichwa cha mwendawazimu!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kamati Kuu Chadema kuketi Mei 11

Spread the loveKAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inatarajiwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Serikali yapunguza kodi ya makampuni kwa 20%

Spread the loveSERIKALI imepunguza kodi ya makampuni kwa asilimia 20, kutoka asilimia...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Halima Mdee hapatoshi

Spread the loveVITA ya maneno kati ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Madiwani Msalala wampa tano DED kwa kuongeza mapato

Spread the loveMKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, mkoani Shinyanga, Khamis...

error: Content is protected !!