Sunday , 5 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Kamati Kuu maalum CCM yakutaka Ikulu
Habari za Siasa

Kamati Kuu maalum CCM yakutaka Ikulu

Spread the love

 

KAMATI kuu maalum ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekutana leo Jumapili, tarehe 7 Novemba 2021, Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Kikao hicho, kinaongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Picha mbalimbali za mnato, zinawaonesha wajumbe wa kikao hicho wakiwemo makamu wawili wa mwenyekiti, Philip Mangula-bara na Dk. Ali Mohamed Shein- Zanzibar ni miongoni waliohudhuria.

Pia, Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi naye amehudhuria kikao hicho maalum.

Haijafahamika agenda ya kikao hicho cha kamati kuu kinajadili nini.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI TV, MwanaHALISI Online na mitandao yetu ya kijamii kwa habari na taarifa mbalimbali.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia ambwaga Selasini, mahakama yaamuru alipwe fidia

Spread the loveMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru...

Habari za SiasaTangulizi

Mkulo afariki dunia, kuzikwa kesho Kilosa

Spread the loveALIYEKUWA Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kilosa (CCM), Mustafa...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya afutiwa kesi, ruksa kugombea uongozi

Spread the loveMwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali DPP leo Ijumaa amefuta rufaa...

Habari za Siasa

Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Spread the loveSerikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha...

error: Content is protected !!