Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Maisha Afya Tanzania yapokea chanjo ya corona kutoka China
AfyaTangulizi

Tanzania yapokea chanjo ya corona kutoka China

Spread the love

 

TANZANIA leo Ijumaa, tarehe 8 Oktoba 2021, imepokea dozi 576,558 za chanjo dhidi ya ugonjwa unaoambukizwa na virusi vya korona (UVIKO-19) aina ya Sinopharm kutoka China. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema, “dozi hizo zimeletwa nchini chini ya mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) uitwao Covax Facility na ni sehemu ya Dozi 1,065,600. Dozi nyingine 489,042.”

Tayari Tanzania ilikwisha kupokea dozi milioni moja aina ya Johnson & Johnson ‘JJ’ kutoka Marekani.

Chanjo hiyo JJ ndiyo ambayo tarehe 28 Julai 2021, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliizindua Ikulu ya Dar es Salaam kwa yeye mwenyewe kuchanjwa na inaendelea kuchanjwa kwa wananchi walio tayari.

1 Comment

  • Ile JJ tayari zimeisha?
    Ni maofisa na viongozi wangapi wa serikali na CCM wamechanja? Wao wawe msitari wa mbele pamoja na wabunge na madiwani wote. Hii ni njia pekee ya kuhamasisha wananchi wachanje. Tuache bla bla

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaanza msako wanaotoa mikopo kausha damu

Spread the loveSERIKALI imeanza kufuatilia watu, vikundi na taasisi zinazotoa kinyume cha...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Fatma Karume kuhusu Rais Samia

Spread the love  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Watanzania iungeni mkono Chadema uchaguzi 2025

Spread the loveMWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, amewataka watanzania wakiunge...

Habari za SiasaTangulizi

Samia ataja miradi ambayo Tanzania inashirikiana na IDA

Spread the loveRais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu amehutubia...

error: Content is protected !!