Friday , 3 May 2024
Home Gazeti Makala & Uchambuzi Mgomo wa madaktari ulivyomweka kwenye koma miaka 39 Jean Pierre, dunia yamlilia
Makala & UchambuziMichezo

Mgomo wa madaktari ulivyomweka kwenye koma miaka 39 Jean Pierre, dunia yamlilia

Spread the love

 

TAREHE 6 Septemba 2021, mwaka huu ulimwengu wa soka ulikumbwa na simanzi baada ya mchezaji wa zamani wa Ufaransa, Jean Pierre Adams kufariki dunia. Anaripoti Gabriel Mushi, Dar es Salaam … (endelea).

Licha ya kwamba ni mchezaji wa zamani tena aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, historia yake na chanzo kilichomsababisha kulala moja kwa moja au kuwa katika hali ya koma kwa miaka 39 ndicho kilichozidisha machungu kwa wafuatiliaji wa soka.

Jean Pierre Adams ni raia wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal.

Alizaliwa tarehe 10 Machi 1948 katika jiji la Dakar, nchini Senegal, alipofikisha umri wa miaka 10 akiwa ameambatana na bibi yake alihamia nchini Ufaransa katika kijiji cha Montargis, Loiret.

Bibi yake alikuwa mhudumu wa misheni katika parokia moja ya kanisa katoliki nchini Senegal na alipohamia Ufaransa vivyo hivyo alihudumu katika Parokia ya Loiret.

Fuatilia simulizi ya Adams kujua kile kilichosababisha akakaa kwenye koma kwa miaka 39.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Je, miji ya Uingereza inafilisika?

Spread the loveMNAMO 1890, mwandishi mmoja wa habari Mmarekani aitwaye Julian Ralph...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

error: Content is protected !!