Tuesday , 7 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Watu 45 watiwa mbaroni mkoani Dodoma
Habari Mchanganyiko

Watu 45 watiwa mbaroni mkoani Dodoma

Lazaro Mambosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam
Spread the love

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu 45 kwa tuhuma mbalimbali pamoja na kukamata silaha, mali za wizi na madawa ya kulevya katika maeneo, anaandika  Dany Tibason.

Kauli hiyo imetolewa leo mjini Dodoma na Kamishina mwandamizi msaidizi wa Jeshi la Polisi, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

Kamanda Mambosasa amesema kuwa kutokana na msako unaoendelea kufanywa na Polisi wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao katika matukio tofauti.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Mahakama yatoa uamuzi zuio dhidi ya Club House

Spread the loveMAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu jijini Dar es Salaam,...

Habari Mchanganyiko

GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200 Arusha

Spread the loveZAIDI ya madereva bodaboda 200 wa jiji la Arusha wamepatiwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Spread the loveSerikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Huduma za kibingwa zazinduliwa katika hospitali za halmashauri 184

Spread the loveSERIKALI imezindua huduma za matibabu za kibingwa katika hospitali 184...

error: Content is protected !!