Wanajeshi 10 wahukumiwa kwa mauaji, ubakaji

MAHAKAMA ya kijeshi nchini Sudan Kusini imewahukumu wanajeshi 10 vifungo vya kati ya miaka saba na maisha kwa makosa ya mauaji na ubakaji. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea).

Wanajeshi hao wamekutwa na hatia ya makosa hayo waliyoyatenda mwaka 2016 kwenye ghasia zilizotokana na shambulizi liliofanyika katika hoteli ya Terrain iliyoko mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba.

Katika ghasia hizo, mwandishi wa habari John Gatluak aliuawa, na wafanyakazi wa kutoa huduma za kibinadamu walibakwa.

Tukio hilo lilikuwa baya zaidi dhidi ya raia wa kigeni  tangu Wanajeshi wa Sudan Kusini kutuhumiwa kuendesha uhalifu mara kadhaa tangu yazuke mapigano ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2013.

MAHAKAMA ya kijeshi nchini Sudan Kusini imewahukumu wanajeshi 10 vifungo vya kati ya miaka saba na maisha kwa makosa ya mauaji na ubakaji. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Wanajeshi hao wamekutwa na hatia ya makosa hayo waliyoyatenda mwaka 2016 kwenye ghasia zilizotokana na shambulizi liliofanyika katika hoteli ya Terrain iliyoko mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Katika ghasia hizo, mwandishi wa habari John Gatluak aliuawa, na wafanyakazi wa kutoa huduma za kibinadamu walibakwa. Tukio hilo lilikuwa baya zaidi dhidi ya raia wa kigeni  tangu Wanajeshi wa Sudan Kusini kutuhumiwa kuendesha uhalifu mara kadhaa tangu yazuke mapigano ya wenyewe kwa wenyewe…

Review Overview

User Rating: Be the first one !

About Regina Mkonde

error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram