Daily Archives: November 2, 2020

Polisi wamwachia Tundu Lissu

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, ameachiwa na Jeshi la Polisi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Lissu alikamatwa leo Jioni Jumatatu tarehe 2 Novemba 2020 ...

Read More »

Lissu akamatwa

JESHI la Polisi Tanzania limemkamata Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano ya 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Taarifa za kukamatwa ...

Read More »

Huyu ndiye Rais Hussein Mwinyi

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, ameanza rasmi safari ya siku 1826 ya kuwaongoza Wazanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Dk. Mwinyi ameanza safari hiyo ya miaka mitano leo ...

Read More »

Sh. 7,000 kuziona Simba na Yanga

BODI inayosimamia Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza viingilio kwenye mchezo utakaowakutanisha Yanga dhidi ya Simba ambapo kiingilio cha chini kitakuwa Tsh. 7,000 kwa upande wa mzunguko. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar ...

Read More »

Bodi ya Ligi yafungia viwanja saba

BODI ya Ligi imevifungia viwanja vya Majimaji (songea), Mkwakwani (Tanga), Sabasaba (Njombe), Ali Hassan Mwinyi (Tabora), Kipija (Mbeya), Nagwanda Sijaona (Mtwara) na Jamhuri (Dodoma) mara baada ya kukosa baadhi ya ...

Read More »

CCM yatoa saa 48 wanaotaka U Spika, Meya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kuanza kutoa fomu za kuwania Uspika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Pia, nafasi za Meya wa ...

Read More »

Aida wa Chadema atoa msimamo kwenda bungeni

MBUNGE mteule wa Nkasi Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Aida KhenanIi amesema, kamwe hatowasaliti wananchi waliomchagua hivyo atakwenda Bunge kuapishwa ili aweze kuwatumikia. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Profesa Lipumba: CUF hatutashiriki uchaguzi tena

CHAMA Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wowote ujao hadi mazingira ya uchaguzi huru na wa haki yatakapopatika ikiwemo Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Dk 14 za Rais Mwinyi “nitashirikiana na kila mmoja”

RAIS mpya wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametumia dakika 14 kutoa hotuba yake ya kwanza akiwa Rais wa visiwa hivyo huku akiahidi kuunda Serikali itakayokuwa uwazi, kuwajibika na usawa ...

Read More »

Dk. Mwinyi aanza safari kuiongoza Z’bar

JAJI Mkuu wa Zanzibar, Othuman Ali Makungu amemuapisha Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Dk. Mwinyi (53) ameapishwa leo Jumatatu ...

Read More »

Dk. Mwinyi kuingia Ikulu leo

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, leo Jumatatu tarehe 2 Novemba 2020 ataapishwa kuwa Rais wa nane wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea) Shughuli hiyo ya uapisho, itafanyika Uwanja wa ...

Read More »

Mbowe, Lema na Jacob wakamatwa

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salamaa nchini Tanzania, inawashikilia viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe wakituhumiwa kuhamasisha maandamano. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »
error: Content is protected !!