Friday , 26 April 2024

Day: September 23, 2020

Habari za Siasa

Wanachama, viongozi 28 ACT-Wazalendo  Z’bar mbaroni

VIONGOZI na wanachama 28 wa Chama cha ACT-Wazalendo Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujeruhi na...

Habari Mchanganyiko

Fatma Karume: Sijazaliwa mahakamani

FATMA Karume, mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania amesema, hajazaliwa kwa ajili ya kufanya kazi mahakamani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Uchaguzi Mkuu 2020: DC Dodoma awapa ujumbe wanawake

WANAWAKE wametakiwa kusaidiana katika mchakato unaoendelea wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika Jumatano tarehe 23 Septemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Fatma Karume ang’olewa TLS, asema…

KAMATI ya Maadili ya Mawakili Tanganyika imemkuta na hatia, Fatma Karume ya kukiuka maadili ya uwakili hivyo kuamlu jina lake (namba 848) kuondolewa...

Habari Mchanganyiko

TASUWORI kuunganisha vijana 300

SHIRIKA la linalojishughulisha na Kulinda na Kutetea Haki za Wanawake Tanzania (TASUWORI), limeeleza kuwa tayari kuunganisha vijana 300 kutoka kwenye vikundi tisa vinavyofanya...

Habari za Siasa

Lissu: Nitabadili mfumo

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, ameahidi kubadili mfumo wa kibiashara ili kuwaneemesha wananchi waliopo mipakani...

Habari Mchanganyiko

RC Dar aahidi neema kwa walimu

ABOUBAKAR Kunenge, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), amewahakikishia walimu kuwa Serikali inaendelea kulipa malimbikizo yote wanayodai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Membe mambo magumu

USHIRIKIANO kati ya Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania Bara kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Bernard Membe wa Chama cha...

Habari za Siasa

Maalim Seif amwita Lissu ampe mbinu za ushindi

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo anataka kukutana na Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema ili ampe...

error: Content is protected !!