Saturday , 27 April 2024

Day: May 15, 2020

Habari za Siasa

Mashine ya kupima corona yatua Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imepokea mashine moja kati ya tatu ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari: Chadema wamevunja Katiba yao

ALIYEKUWA makamu mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Abdallah Safari, amekosoa uaamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya chama...

Habari za Siasa

Bunge laishauri Serikali kuomba msaada IMF, WB vita ya corona

KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali ya Tanzania kuliomba Shirika la Fedha Duniani (IMF), fedha kwa ajili ya kupambana na athari za...

Afya

Waziri Ummy awazungumzia wazee, watoto mapambano ya corona

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, amewataka Watanzania kuwalinda watoto na wazee  dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na...

Habari

Waziri Mpango ataja mambo matano yanayoikabili wizara yake

WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango amebainisha changamoto tano ambazo zinaikabili wizara hiyo ikiwamo mlipuko wa ugonjwa wa homa...

Kimataifa

Slovenia nchi ya kwanzaUlaya kumaliza corona

NCHI ya Slovenia, iliyo na watu 2,078,901, wiki hii limekuwa taifa la kwanza barani Ulaya kutangaza hitimisho la maambukizi mapya ya virusi vinavyosababisha homa...

Habari

Sh.6 trilioni zalipa deni la Serikali, wastaafu 57,605 kicheko

SERIKALI ya Tanzania imesema, kati ya Julai 2019 na Machi, 2020 imelipa mafao na pensheni kwa wastaafu wa Serikali 57,605, mirathi kwa warithi 1,006...

Habari za Siasa

Takukuru yawahoji wanasiasa walioanza kampeni

WANASIASA kadhaa wanahojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa, katika mchakato wa...

Habari za Siasa

Vyama sita vya wakulima vyapewa siku 16 kutema mamilioni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imetoa siku 16 kwa vyama sita vya ushirika kurejesha mamilioni ya wakulima wanayodaiwa...

Afya

Saratani ya kizazi tishio Tanzania

SARATANI ya Mlango wa Kizazi ndio saratani inaoongoza nchini Tanzania kuliko nyingine zinazowakabili binadamu. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea) Hata hivyo imeelezwa kwa pamoja na...

Michezo

Bil 1 za Rais Magufuli zaiweka pabaya TFF

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imesema inalichunguza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kuhusu matumizi mabaya ya fedha,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kuwaongoza wenzake kurejea bungeni leo

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliotii agizo la chama hicho la kukaa karantini kwa muda wa siku 14, wanatarajia kurejea...

Habari Mchanganyiko

Wajane wapewa somo kujikinga na corona

JUMUIYA ya Wanawake wa dini ya Kiislamu (JUAKITA) mkoa wa Dodoma, imesema moja ya mkakati wake wa kuepukana na ugonjwa hatari wa maambukizi...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ahoji mbwa kukagua watoto, vyakula bandarini

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (CCM), Jaku Hashim Ayoub amehoji sababu za mbwa kutumika kwa ukaguzi wa vyakula na watoto wadogo katika...

Habari za Siasa

Majaliwa amtaka bosi Tanesco kusimamia ipasavyo JNHPP 

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dk. Tito Mwinuka kusimamia mradi ujenzi wa mradi...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu Majaliwa akagua SGR, yazalisha ajira 18,700

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kusema mradi huo umesaidia kupungua tatizo la ajira kwa kuajiri wafanyakazi...

error: Content is protected !!