Friday , 26 April 2024

Day: July 16, 2019

Habari za Siasa

JPM aipa Wizara ya Fedha, Ujenzi siku 5

RAIS John Magufuli ametoa siku tano kwa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na Wizara ya Fedha na Mipango, kuhakikisha vifaa vya...

Habari Mchanganyiko

MISA Tanzania wamvaa Uwoya

TUKIO la Irene Uwoya, Msanii wa Filamu nchini kuwamwagia fedha waandishi wa habari, limelaaniwa na Taasisi ya Vyombo ya Habari Kusini mwa Afrika...

Habari za Siasa

Tuhuma nzito ziara ya Rais Magufuli

ZIARA ya Rais John Magufuli katika gereza kuu la Butimba jijini Mwanza, imeibua tuhuma nzito. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kalikenya Nyamboge, mfungwa anayetumikia kifungo cha...

Habari MchanganyikoKimataifa

Masikini Abdul! apigwa risasi ya kichwa, yupo taaban

IJUMAA ya tarehe 12 Julai 2019, imebaki katika kumbukumbu hasi kwa wakazi wa Kijiji cha Kufr Qaddoum kilichopo Kaskazini mwa Mji wa West Bank. Inaripotiwa...

Michezo

Simba yamshitaki Mzee Kilomoni TFF

KLABU ya Simba imemfikisha Mzee Hamisi Kilomoni, aliyekuwa Mjumbe wa Bodi yake ya  Wadhamini katika Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa...

Habari za SiasaSiasa

Rais Magufuli awapa zawadi wafungwa

RAIS John Magufuli leo tarehe 16 Julai 2019, ametoa zawadi ya magunia 15 ya mchele pamoja na ng’ombe watatu kwa wafungwa na mahabusu...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yapata ‘dili’ uuzaji wa korosho

SHIRIKISHO la Korosho Barani Afrika (ACA), limeiteua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 13 wa wadau wa kimataifa wa korosho, unaotarajia kufanyika kuanzia...

Habari za Siasa

Juma Duni Haji aikosoa SMZ

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimedai kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ina tabia ya kutenga bajeti isiyokidhi mahitaji pia kukopa kwa masharti magumu na...

Habari za SiasaTangulizi

Makamba, Kinana watinga Ikulu

YUSUF Makamba na Abdulrahman Kinana, makatibu wakuu wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamebisha hodi kwa Rais John Magufuli. Anatipoti Mwandishi Wetu …...

Habari za Siasa

Kesho Arusha, Kilimanjaro kuanza rasmi BVR

UBORESHAJI wa Daftari la Wapiga Kura kwa njia ya Kielektroniki (BVR), katika Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha unatarajia kuanza rasmi tarehe 18 Julai...

error: Content is protected !!