Saturday , 27 April 2024

Day: March 7, 2019

Habari Mchanganyiko

Sakata la MO kaa la moto

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ameingia kigugumizi kuzungumzia ukimya  uliomshtua Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yawarejesha Mbowe, Matiko uraiani

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, imewarejesha uraiani wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (Hai) na Esther...

Habari Mchanganyiko

Kibonde kuzikwa Jumamosi

MAZISHI ya aliyekiwa mtangazaji wa Kituo cha Redio Clouds, Ephrahim Kibonde atazikwa Jumamosi wiki hii. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Mwili wa Kibonde...

Habari za Siasa

Makamba: Ningeshangaa Mgeja kubaki Chadema

KUREJEA kwa Hamis Mgeja katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana tarehe 6 Machi 2019, hakukuwashtua wengi. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Katoliki washusha waraka ‘Ujumbe wa Kwaresma’

KANISA Katoliki Tanzania limetoa waraka uliobeba ujumbe wa Kwaresima, huku likiangazia changamoto zinazokabili familia na visababishi vya changamoto hizo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Waraka huo...

Tangulizi

Namna Kibonde alivyoanza safari ya kifo chake

SAFARI ya mwisho ya Ephrahim Kibonde, mtangazaji na Mahiri wa  Clouds FM aliyekuwa akitangaza kipindi cha Jahazi,  ilishika kasi siku ya mazishi ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Msiba mwingine Clouds; Ephraim Kibonde afariki

SIKU tatu baada ya kufariki Ruge Mutahana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group (CMG), Ruge Mutahaba, leo tarehe 7...

error: Content is protected !!