September 4, 2018 – MwanaHALISI Online

Daily Archives: September 4, 2018

JPM atosa wanachama wapya CCM

download

RAIS John Magufuli amegoma kupokea wanachama wapya wanaotaka kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Faki Sosi … (endelea). Taarifa za awali zinadai kuwa, kulikuwa na watu waliotaka kujiunga na ...

Read More »

NECTA yabadili mfumo mtihani darasa la saba

Dk. Charles Msonde

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde amesema kuwa kuanzia mwaka huu muundo wa mtihani ya darasa la saba umebadilika tofauti na miaka iliyopita. Anaripoti ...

Read More »

Wawili wafariki dunia ajalini Pwani

IMG-20180904-WA0031

WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa, katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 4 Septemba mwaka huu, iliyohusisha magari mawili ambayo yamegongana uso kwa uso katika barabara ...

Read More »

Zitto Kabwe kufichua kesi mpya za Serikali bungeni

ziii

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amewasilisha swali la maandishi bungeni akiitaka serikali iueleze umma kuhusu idadi ya kesi zilizofunguliwa kwenye mahakama za kimataifa dhidi yake. Anaripoti Regina Kelvin … ...

Read More »

Zengwe la Uchaguzi Mdogo laibuka bungeni

Baadhi-ya-wabunge-wa-upinzani-wakiwa-wamesimama

MATUKIO yaliyotikisa katika Uchaguzi Mdogo wa udiwani na ubunge sasa yameanza kuhojiwa bungeni. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea) Miongoni mwa matukio hayo ni madai ya baadhi ya wagombea wa upinzani ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube