Friday , 26 April 2024

Day: August 14, 2018

Elimu

Mtandao wa Wanafunzi waipongeza TCU

MTANDAO wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) umetoa shukrani kwa Tume ya Vyuo Vikuu  (TCU) kwa kukubali ushauri wao wa utaratibu mpya wa wanafunzi wa...

Habari Mchanganyiko

StarTimes yasalimu amri, yaomba radhi wateja wake

KAMPUNI ya Star Media (T) Ltd inayomiliki king’amuzi cha StarTimes imesalimu amri kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za Siasa

Lukuvi abadili staili utoaji vibali vya ujenzi

WaAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema kwamba kuanzia sasa vibali vya ujenzi vitakuwa vinatolewa kila wiki na vitakuwa...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mwakyembe awaagiza TCRA kutoa ufafanuzi sakata la ving’amuzi

DK.Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo,  amesema kuwa uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzitaka kampuni zinazomiliki Zuku, DSTV...

Habari za Siasa

CCM wawarudisha Waitara, Kalanga

KAMATI Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM imeteuwa wagombea watatu watakaokiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti...

Michezo

Usajiri wamrudisha Van Der Sar Manchester

EDWIN Van Der Sar, mlinda mlango wa zamani wa Manchester United ni moja kati ya majina matatu yaliotajwa kuja kukalia kiti cha Mkurugenzi...

Habari za SiasaTangulizi

Maneno mazito ya Mbunge wa Chadema baada ya Uchaguzi

NENO LA SHUKRANI Na Elia F Michael Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa chama wilaya ya Kakonko na Chama Taifa kuniona kama...

Michezo

Salah mikononi kwa Polisi

MSHAMBULIAJI wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohammed Salah ameingia matatizoni na polisi wa Merseyside baada ya kuibuka kwa video mitandaoni...

Elimu

TCU waanzisha mfumo mpya kwa wanafunzi wapya

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kuwa na mfumo mpya wa kielektroniki utakomwezesha mwanafunzi kuthibitisha chuo anachokwenda kusoma baada ya kuchaguliwa na...

Habari za Siasa

Afya ya Dk. Kigwangalla yaimarika

HALI ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla inazidi kuimarika ambapo kwa mara ya kwanza tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa...

KimataifaTangulizi

Dereva wa mbunge auwawa na polisi

DEREVA wa Mbunge wa Jimbo la Kyaddondo Mashariki  nchini Uganda,  Robert Kyagulanyi  Bobi Wine, Yasin Kawuma amefariki baada ya kupigwa risasi na watu...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kwenda mahakamani kupinga ushindi wa CCM

CHAMA cha Demorasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara, kimepanga kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mdogo...

Habari Mchanganyiko

Ukaidi waiponza Star Times

MUDA wowote kuanzia sasa, wateja wanaotumia king’amuzi cha Star Times watashindwa kupata matangazo yanayopitia king’amuzi hiko kutokana na kugoma kutii sheria kama inavyoelekezwa...

error: Content is protected !!