Saturday , 27 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Daktari apatikana na hatia ya makosa 54
Kimataifa

Daktari apatikana na hatia ya makosa 54

Krisna Singh
Spread the love

 

DAKTARI Krisna Singh kutoka North Lanarkhire mwenye umri wa miaka 72 , amepatikama na hatia ya makosa ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanawake kwa zaidi ya miaka 35. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa msaada wa mashirika ya kimataifa … (endelea).

Krishna Singh alipatikana na hatia ya kuwabusu ,kuwapapasapapasa ,na kuwafanyia uchunguzi usiofaa nakutoa maoni ya uzembe kwa wagonjwa 48, katika mazingira mbalimbali ya matibabu.

Hata hivyo wagonjwa hao nipamoja na mwathiriwa wa ubakaji ,wasichana na wanawake wajawazito.

Singh alipatikana na hatia hiyo ya unyanyasaji wa kingono na vitendo vya aibu ambavyo alivifanya Febuari mwaka 1983 mpaka Mei mwaka 2018 .
Aidha Singh hakuthibitishwa kukosa katika mashtaka mengine tisa ,na kukutwa bila hatia kwa mashitaka mengine mawili.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

Habari MchanganyikoKimataifa

Tetemeko la ardhi laua 7, lajeruhi 800 Taiwan

Spread the loveWatu wapatao saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 800...

error: Content is protected !!