RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa wilaya wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 25 Januari 2023 na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, wakuu wa wilaya walioteuliwa ni hawa wafuatao; 1.Felician Gasper Mtahengerwa-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
2.Marko Henry Ngu’mbi-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido.
3.Emmanuela Kaganda Mtatifikolo – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya yaArumeru.
4.Gerald R. Mongella -Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba.
5.Kanali Boniphace Magembe-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita.
6.Leah Lucas Ulaya-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe
7.Deusdedith Josephat Katwale – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Chato.
8.Grace Henry Kingalame – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’halwe.
9.Dkt.Linda Peniel Salekwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi.
10.Dkt. Abel Mwendawile Nyamahanga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya yaMuleba.
11.Japhet Mosses Maganga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa.
12.Erasto Yohana Sima – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba
13.Julius Kalanga Laiser-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe
14.Dinah Elias Mathamani-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza
15.Dkt.Christopher David Timbuka -Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha
16.Amir Mohamed Mkalipa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
17.Kasilda Jeremia Mgeni-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Same
18.Goodluck Asaph Mlinga -Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale
19.Chistopher E. Ngubiagai-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa
20.Beno Morris Malisa-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya
21.Josephine Keenja Manase-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyela
22.Jaffar Mohamed Haniu-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe
23.Rebeca Sanga Msemwa-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro
24.Shaka Hamdu Shaka – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa
25.Rachel Stephen Kasanda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu
26.Hassan Omary Bomboko-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe
27.Victoria Charles Mwanziva-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa
28.Kanali Joseph Samwel Kolombo-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti
29.Zephania Stephan Sumaye-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia
30.Lazaro Killian Komba-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo
31.Dkt.Jane Chacha Nyamsenda-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya yaSumbawanga
32.Wilman Kapenjama Ndile-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea
33.Mboni Mohamed Mhita-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama
34.Farida Salum Mgomi-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje
35.Solomon Jonas Itunda-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe
36.Zakaria Saili Mwansasu – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui
37.Naitapwaki Lumeya Tukai-Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega.
Leave a comment