Sunday , 5 May 2024
Home Kitengo Michezo Sherehe zimekwisha sasa tukutane Agosti 13
MichezoTangulizi

Sherehe zimekwisha sasa tukutane Agosti 13

Spread the love

MIONGONI mwa burudani zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu ni pamoja na kilele cha Siku ya Mwananchi na Siku ya Simba, sherehe ambazo huambatana na michezo ya kirafiki baina ya timu za kigeni zikivaana na wenyeji wao kwa lengo la kunogesha siku hizo, ambapo matokeo yake huongeza shauku  ya kuwakutanisha watani hao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Yanga wao walimaliza kilele cha siku yao kwa majonzi makubwa baada ya kukubali kupokea adhabu ya mabao 2-0 kutoka kwa Mabungwa wa Uganda wa msimu wa 2021/22, Vipers SC, mchezo uliopigwa tarehe 6 Agosti mwaka huu katika uwanja wa Benjamini Mkapa.

Kwa Simba wao ilikuwa ni shangwe baada ya Wekundu hao wa Msimbazi kwa kuwapa furaha mashabiki wao kwa kuwachapa Mabingwa wa Ethiopia, St. George kwa mabao 2-0 ikiwa ni sehemu ya burudani ya kusheherekea siku ya wanamsimbazi iliyofanyika tarehe 8 Agosti mwaka huu katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Baada ya kumaliza shehere hizo kwa miamba hiyo ya soka nchini Simba na Yanga, burudani imehamishwa katika mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utaashirikia ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa 2022/23 utakaopigwa tarehe 13 Agosti, 2022 katika Dimba la Benjamini Mkapa. Ikumbukwe hadi hivi sasa Ngao ya jamii inashikiliwa na klabu ya Yanga baada ya kuwafunga Simba bao 1-0 msimu uliopita.

Swali la kujiuliza, Je, Yanga wataendeleza ubabe wa kutwaa taji hili au Simba watapindua meza? Cha kufurahisha zaidi, upande wa Sports Betting kupitia kampuni bora ya kubeti Tanzania, Sokabet, unaweza kubeti live (mchezo ukiwa unaendelea) au kabla ya mechi kuanza (pre-match) ili upige pesa huku ukipata burudani.

Nikumegee siri, wapenzi wa soka wengi wanapenda kubeti kabla mechi haijaanza ili wapate uwanja mpana kabisa wa machaguo.

Kwa mechi hii na nyinginezo unaweza kukuta machaguo zaidi ya 400; ni wewe tu uamue ubeti nini, kama vile “double chance”, handicaps, “over/under”, kadi na faulo (kwa pre-match pekee). Na hata mechi ikashaanza kuchezwa unaweza kuendelea kubashiri live magoli ya kipindi cha kwanza, au kipindi cha pili au nani atafunga n.k

Yote haya ni ndani ya Sokabet, the best online casino and sports betting company in Tanzania.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Usiishie kuangalia tu game za leo, piga na mkwanja na Meridianbet

Spread the love  LIGI mbalimbali barani ulaya zitarejea tena Jumamosi ya leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kimbunga Hidaya chatikisa Mafia

Spread the loveWAKATI hali ya upepo mkali ikiendelea kushuhudiwa katika baadhi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia ambwaga Selasini, mahakama yaamuru alipwe fidia

Spread the loveMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru...

Habari za SiasaTangulizi

Mkulo afariki dunia, kuzikwa kesho Kilosa

Spread the loveALIYEKUWA Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kilosa (CCM), Mustafa...

error: Content is protected !!