Wednesday , 8 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Barrick ilivyoshiriki katika  kuadhimisha Siku ya Canada
Habari Mchanganyiko

Barrick ilivyoshiriki katika  kuadhimisha Siku ya Canada

Spread the love

 

KAMPUNI ya Barrick nchini Tanzania imekuwa mmoja wa wadau wakuu waliofanikisha maadhimisho ya Siku ya Canada, ambapo baadhi ya wafanyakazi wake walishiriki katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa Balozi wa Canada nchini Masaki jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donnell (wa pili kutoka kushoto) akigonga glasi na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Barrick
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi maalum, Dk.Doroth Gwajima (aliyevaa kofia) wakati wa hafla hiyo
Baadhi ya Wafanyakazi wa Barrick waliohudhuria katika hafla hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini, Pamela O’Donnell.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano...

AfyaHabari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Kisukari cha mimba ni nini?

Spread the loveKisukari cha mimba ni aina ya kisukari kinachotokea kwa baadhi...

Habari Mchanganyiko

Mafunzo kwa bodaboda 395 yamkuna Meya Dodoma

Spread the loveNAIBU Meya wa Jiji la Dodoma, Asma Karama amepongeza mafunzo...

Habari Mchanganyiko

Samia aagiza huduma za dharura maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Hidaya

Spread the love   RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Samia...

error: Content is protected !!