KAMPUNI ya Barrick nchini Tanzania imekuwa mmoja wa wadau wakuu waliofanikisha maadhimisho ya Siku ya Canada, ambapo baadhi ya wafanyakazi wake walishiriki katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa Balozi wa Canada nchini Masaki jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donnell (wa pili kutoka kushoto) akigonga glasi na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya BarrickWafanyakazi wa Barrick wakifurahi pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi maalum, Dk.Doroth Gwajima (aliyevaa kofia) wakati wa hafla hiyo
Baadhi ya Wafanyakazi wa Barrick waliohudhuria katika hafla hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini, Pamela O’Donnell.
More Stories
Rais Samia asisitiza uharakishwaji matumizi ya Kiswahili SADC
Ujenzi BRT II wafikia asilimia 66.6
Siku ya sensa ni mapumziko