Sunday , 5 May 2024
Home Gazeti Habari Rais Samia afanya uteuzi, yumo bosi TSN
HabariTangulizi

Rais Samia afanya uteuzi, yumo bosi TSN

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Tuma Abdallah kuwa Mhariri Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Tuma alikuwa akikaimu nafasi hiyo zaidi ya miaka miwili.

Tuma Abdallah kuwa Mhariri Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN)

Uteuzi huo umetangawa leo Jumanne tarehe 28 Juni 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus.

Taarifa ya uteuzi hii hapa;

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoTangulizi

Kimbunga Hidaya chatikisa Mafia

Spread the loveWAKATI hali ya upepo mkali ikiendelea kushuhudiwa katika baadhi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia ambwaga Selasini, mahakama yaamuru alipwe fidia

Spread the loveMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru...

Habari za SiasaTangulizi

Mkulo afariki dunia, kuzikwa kesho Kilosa

Spread the loveALIYEKUWA Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kilosa (CCM), Mustafa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Usafiri baharini wasitishwa kukwepa athari za kimbunga Hidaya

Spread the loveUSAFIRI wa baharini umesimamishwa kwa muda ili kukwepa athari za...

error: Content is protected !!