Tuesday , 30 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia aipangua MSD, ateua viongozi
Habari za Siasa

Rais Samia aipangua MSD, ateua viongozi

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi watatu akiwemo Mavere Tukai kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …. (endelea).

Tukai anachukua nafasi ya Brig. Jen. Dk. Gabriel Mhidize.

Uteuzi huo umetangazwa usiku wa Alhamisi tarehe 14 Aprili 2022 na Zuhura Yunus, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu akiwa Washington DC nchini Marekani.

Rais Samia yupo Marekani kwa ziara ya kikazi.

2 Comments

  • Ziara ya rais kikazi wiki mbili? Serious? Yaani anafanya kazi za mawaziri, wakurugenzi na mabalozi?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Fatma Karume kuhusu Rais Samia

Spread the love  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Watanzania iungeni mkono Chadema uchaguzi 2025

Spread the loveMWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, amewataka watanzania wakiunge...

Habari za SiasaTangulizi

Samia ataja miradi ambayo Tanzania inashirikiana na IDA

Spread the loveRais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu amehutubia...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

7 wafa Ulanga, mbunge alia kutelekezwa na mawaziri, Tanroad

Spread the loveWatoto saba wamepoteza maisha na zaidi ya kaya 70 kukosa...

error: Content is protected !!